help

dasmwaka

Member
Apr 22, 2008
5
1
Habari za muda huu ndugu zangu JFC?
Naombeni mnisaidie computer yangu ina tatizo la kutorestart. Mwanzo kabla sijaiformat ilikuwa inauwezo wa kurestart lakini kwa sasa nikiishutdown au nikiizima kwa muda huo haiwezi kuwaka mpaka ikae muda muda fulni ndipo itaanza kuboot
 
Hi Mwaka Hujasema Kwanini Uliamua Kuformat Hiyo Computer Yako Je Kulikuwa Na Tatizo Lolote Katika Hiyo Computer Yako ?

Sababu Zinazosababisha Computer Kurestat Ni Zifuatazo

1 - Ram Ina Tatizo
2 - Uliondoa Virus Baadhi Ya File Za Startup Zikafutwa Kama Winini
3 - Kama Uliformat Inawezekana Kuna Baadhi Ya File Hazikuingia Uzuri Inategemea Na Cd Uliyotumia Na Cd Rom Yako Pia
4- Au Mainboard Yenyewe Ina Tatizo .
5 - Au Bootsector Ime Corrupt Kwahiyo Unatakiwa Uangalie Vyote Hivyo Lakini Kwanza Jibu Swali Kwanini Uliamua Kuformat .

Sababu Za Kujizima

1 - Hardrive Mbovu
2 - Mainboard Mbovu
3 - Coolingfan Haiwaki Au Inajizima Kwahiyo Cpu Haipoozwi
4 - Power Supply Mbovu Ina Matatizo Fulani Ya Umeme

Ni Hayo Tu Ungekuwa Na Namba Ya Simu Ungeweka Hapo Juu Ningekupigia Usiku Huu Niweze Kukushauri Zaidi
 
Mkuu Shy,

Mjibu jamaa kitaalam, amekwambia kuwa computer yake haianzi yenyewe au restart

Sasa mjibu kitaalam na afanze nini ili aweze kuendelea kutumia computer yake.
 
Nimeandika Kidogo Kumpa Mwanga Ndio Maana Nikaomba Namba Ya Simu Nimuulize Baadhi Ya Maswali Kumbuka Jukwaa Liko Wazi Kwa Watu Kama Wewe Pia Kuchangia Unachojua Mimi Mchango Wangu Ndio Huo Kwa Sasa Hivi

Nategemea Yeye Aone Hizo Sababu Nilizouliza Kisha Aje Tena Kuuliza Zaidi Ndio Tunaweza Kusaidiana Kwa Undani
 
Habari za muda huu ndugu zangu JFC?
Naombeni mnisaidie computer yangu ina tatizo la kutorestart. Mwanzo kabla sijaiformat ilikuwa inauwezo wa kurestart lakini kwa sasa nikiishutdown au nikiizima kwa muda huo haiwezi kuwaka mpaka ikae muda muda fulni ndipo itaanza kuboot

Sasa mimi nina mawazo yafuatayo kuhusu solutions:

Kwanza unaweza kutatua tatizo hilo kwa kufuata njia zifuatazo ikiwa tu na wewe una ufahamu wowote juu ya hivi vitu:

Click start,Run >Type regedit ukiwa pale fungua HKEY_CURRENT_USER\Control Panel\Desktop,Double click
MenuShowDelay(in the R/H column)na badilisha value to 100 na itaongeza speed katika start menu.

Pili, inawezekana umejaza midubwana (programs) nyingi zisizo na maana katika regisrty. Unajua kuna watu wanakuwa na Anti-Virus mbilimbili au ana-enable Firewall ya Windows wakati anayo full package kama ya Norton Anti-Virus na Firewall pamoja na zote ikiwa hukuweka limits ya kufanza kazi humo ndani basi kutakuwa na tatizo.

Unajua computer ikianza kuwaka inapitia programs zote zinazotakiwa kuwa tayari kutumika pale itakapowaka kikamilifu. Sasa kama programs ni nyingi itakuwa inachukua muda au inaelemewa na nyingi za hizo huwa hazihitajiki kuwa zina-run.

Sasa nini cha kufanza:

Fungua Task Manager - CTRL+ALT+DEL - na click kwenye Processes tab

Je unaona ni programs ngapi zina-run hapo?

Unapokuwa na unnecessary background processes running takes up your system's resources resulting in the symptoms which you describe kwa sugu.

Sasa hapa kama unamwamini fundi yoyote yule nenda kampe na atazistop zile zote zisizotakiwa ku-run.

NB:

Unatakiwa uwe una ujuzi kidogo ili usiliwe fwedha zako kwa kuelewa fundi anafanzia nini hio mashine yako.
 
Back
Top Bottom