HELP: Translation of some words

emanuel.feruzi

Senior Member
Apr 25, 2009
103
8
I am working on localizing some open source software and I need some help with the following terms:-

  • checkout - last step when purchasing staff online or at a supermarket
  • order (verb) - giving a list of items you want to buy from a store/restaurant/etc
  • order (noun) - a commercial document used to request someone to supply something in return for payment and providing specifications and quantities
I will appriciate your help on these
 
Natumai maelezo haya yatakusaidia kidogo. Hii ni tafsiri ya neno kwa neno bila ya kuzingatia muktadha wa waraka wa asili ambao haupo.

•checkout - last step when purchasing staff online or at a supermarket
Hakikisha - hatua ya mwisho unaponunua bidhaa kupitia mtandao au supamaket

•order (verb) - giving a list of items you want to buy from a store/restaurant/etc
agiza (kitenzi) - toa orodha ya bidhaa unazotaka kununua kutoka ghalani/mkahawani/n.k

•order (noun) - a commercial document used to request someone to supply something in return for payment and providing specifications and quantities
(ma)agizo (jina) - waraka wa kibiashara unaotumiwa kumuomba mtu kuleta kitu na kutoa ufafanuzi na idadi ya alicholeta, ili baadaye alipwe
 
Nadhani hii inamaanisha contextually ni kumaliza au hitimisho.
 
I am working on localizing some open source software and I need some help with the following terms:-

  • checkout - last step when purchasing staff online or at a supermarket
  • order (verb) - giving a list of items you want to buy from a store/restaurant/etc
  • order (noun) - a commercial document used to request someone to supply something in return for payment and providing specifications and quantities
I will appriciate your help on these

Nadhani tafsiri hii c inaweza kuwa sahihi kwenye context ya supermarket

ORDER (NOUN)= MANUNUZI ( kabla hayajalipiwa)
ORDER (
VERB)= KUNUNUA

CHECK OUT=
LIPIA MANUNUZI

Wajumbe wataalamu wa lugha ingawa ni nje ya mada pia naomba kuelimishwa maana ya R.I.P. Mtu akifa naona watu hapa wanatanguliza neno RIP je lina maana gani?
 
Nadhani tafsiri hii c inaweza kuwa sahihi kwenye context ya supermarket

ORDER (NOUN)= MANUNUZI ( kabla hayajalipiwa)
ORDER (VERB)= KUNUNUA

CHECK OUT= LIPIA MANUNUZI

Wajumbe wataalamu wa lugha ingawa ni nje ya mada pia naomba kuelimishwa maana ya R.I.P. Mtu akifa naona watu hapa wanatanguliza neno RIP je lina maana gani?

Routing Information Protocol

RIP is a dynamic routing protocol used in local and wide area networks
 
Back
Top Bottom