Help! Projector

Amoeba

JF-Expert Member
Aug 20, 2009
3,289
781
ndugu wadau, ninahitaji projector ya kkutumia kwenye chumba cha wastani-watu mia moja, matumizi angalau masaa nane kwa siku. nahitaji maelezo ya kina kuhusu aina na ubora wa projector...pia bei zake, na zinapatkana wapi zenye warranty na ya muda gan. nitashukuru kwa ushauri wowote
 
Projector bora kwa sasa ni CLEARCO HD9000 Model-With Latest LCD technology.
-Bightness yake ni 1800 lumen.
-projection size 45-150
Lamp life 8000hrs(New technology)
-output:video,audio.
Other functions:keystone correction,auto turn off,built-in Tv turner,ZOOM function.
warranty: 1 yr
-Bei ya taa zake ni rahisi.
HII ni nzuri kwa matumizi ya biashara kama kuonyesha mpira,harusi nakadhalika.Pia kwa presentation kwenye mikutano au mashuleni.
-TUNAZITUMA TOKA UK.NA KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NA AGENT WETU DAR ESSALAAM:TEL: 0713846454.
Email: maddidy@hotmail.co.uk
Thank you.
-
 
Back
Top Bottom