Tumsifu Samwel
JF-Expert Member
- Jul 30, 2007
- 1,407
- 159
Heshima kwenu wanaJF
Nina Laptop yangu
Toshiba Satellite P15-S409
winXP pro sp 2
3.00GHZ
RAM 512.
Mwaka uliyopita nilikuwa naitumia baada ya kumaliza kuitumia niliizima.k esho yake nilipo iwasha ili boot vizuri tu ilipofika kwenye welcome screen ilichukua mda sana ghafla iliniletea blue screen na ikaji restart upya na mchezo ukawa ndio huo.Nilichofanya nili repair windows ikafanya kazi vizuri,ila nilipo restart tena computer ilirudia tena mchezo ule wa mwanzo,safari hii ilinibidi ni backup data zangu zote,na baada ya hapo nilii-format, baada ya kuiformat ilifanya kazi vizuri sana bila tatizo lolote…
Juzi imerudia mchezo huo tena,nimejaribu ku-repair windows ikifika sehemu ya kungalia file za kwenye drive C inachukua muda sana na inanileteta blue screen na kuji-restart.Sija jua ili tatizo lina sababishwa na kitu gani ni virus au HDD/RAM? Wakuu naomba mnielimishe na nitumie njia gani ili kuliondoa hili tatizo.

Last edited by a moderator: