pilot Joseph
Member
- Jan 11, 2018
- 83
- 25
Hello
Napenda kuwa rubani naomba kufahamu namna ya kupata scholarship

Uzi wako upi?Tafuta Uzi wangu.... Ili umtafute yule kijana wa south.... Ana weza kukusaidia
Ingia hapo uipitie vizuri, utakuta kuna program inaitwa Professional Pilot. Nadhani inakuhusu.Hello
Napenda kuwa rubani naomba kufahamu namna ya kupata scholarship
Ingia hapo uipitie vizuri, utakuta kuna program inaitwa Professional Pilot. Nadhani inakuhusu.
Deadline February 15, saa 6 Europe Time so hurry up, jaza online application system, attach documents wanazohitaji then skilizia.

Mkuu nimeicheki ila ada hawakulipii

No tuition fees wanamaanisha ada hailipwi na wewe mwanafunzi wala wao. Yaani kama ipo exempted na vyuo kwa scholarship holders.Mkuu wanakupa vyote isipokuwa ada, changamoto bado kwenye tuition fee
OkNo tuition fees wanamaanisha ada hailipwi na wewe mwanafunzi wala wao. Yaani kama ipo exempted na vyuo kwa scholarship holders.
Ndo nilivyoelewa, lakini ikiwa unatakiwa kulipa ada si una withdraw tu mkuu, we omba kwanza. Maombi yenyewe bure, bando lako tu
Tuongee tu hapa hapa mkuuN
Ok
Nicheki kwa namba 0625755889 please
Tuongee tu hapa hapa mkuu
Omba vyuo vya uchina kama una passport
hii namba yako ipo tsup?N
Ok
Nicheki kwa namba 0625755889 please