Help please: Pilot scholarships

Si rahisi kupata, fanya yako tu, si lazima ndoto zake zitimie kama uwezo huna
PPL yenyewe dollar 17000
 
Tafuta Uzi wangu.... Ili umtafute yule kijana wa south.... Ana weza kukusaidia
 
Hello
Napenda kuwa rubani naomba kufahamu namna ya kupata scholarship
Ingia hapo uipitie vizuri, utakuta kuna program inaitwa Professional Pilot. Nadhani inakuhusu.

Deadline February 15, saa 6 Europe Time so hurry up, jaza online application system, attach documents wanazohitaji then skilizia.
 
Attachments

  • Announcement_HUNGARIAN_SCHOLARSHIP_2018-2019.pdf
    170.3 KB · Views: 225
Ingia hapo uipitie vizuri, utakuta kuna program inaitwa Professional Pilot. Nadhani inakuhusu.
Mkuu nimeicheki ila ada hawakulipii

Deadline February 15, saa 6 Europe Time so hurry up, jaza online application system, attach documents wanazohitaji then skilizia.
 
Ingia hapo uipitie vizuri, utakuta kuna program inaitwa Professional Pilot. Nadhani inakuhusu.

Deadline February 15, saa 6 Europe Time so hurry up, jaza online application system, attach documents wanazohitaji then skilizia.

Mkuu wanakupa vyote isipokuwa ada, changamoto bado kwenye tuition fee
 
No tuition fees wanamaanisha ada hailipwi na wewe mwanafunzi wala wao. Yaani kama ipo exempted na vyuo kwa scholarship holders.

Ndo nilivyoelewa, lakini ikiwa unatakiwa kulipa ada si una withdraw tu mkuu, we omba kwanza. Maombi yenyewe bure, bando lako tu
 
N

Ok

Nicheki kwa namba 0625755889 please
 
pole sana,fani hii imejawa na ukiritimba mwingi hasa pale unapomaliza masomo.inatakiwa ujiandae financial na kiakil,pasipo mawazo ya kutegemea wadhamini.mil 15 ya final practical unapotakiwa kufanya wakati wa mwisho inakuhusu.pasipo kusahau mahtaj mengne,ada etc.
Ushaur wangu kwako,jaribu kuangalia kama unakidh vgezo hvyo pasipo kumtegemea mdhamini.by the way,mungu akusaidie
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom