Drummer boy
Member
- Oct 5, 2017
- 8
- 0
10/11/2017Sorry mkuu hv deadline ya kureport chuon ni ln msaad kama unafaham
10/11/2017Sorry mkuu hv deadline ya kureport chuon ni ln msaad kama unafaham
Shukran mkuu10/11/2017
hata kama umesoma UDSM lakini kama coz yako haipo katika muundo wa ajira uliyo iomba utajibiwa kuwa hutambuliki au hawakutambui... Mf. umesoma fani ya machenics na umeenda kuomba kazi ya civil eng. ni lazima wakujibu kuwa hawakutambui ktk mfumo wa ajira... ni lazima ume compatible na muundo wa uajiri mkuu... hivyo ndivyo nilielewa kwa hao madogo walio kutwa na hizo shida ktk usailiHivi hao mipango si ndo nliskia walifukuzwa mahala flan kwenye intavyuu kwa kutotambulika au, madogo kabla hamjaenda jaribuni kucheki
I got your point Chillah labda sababu ya ugeni ila mipango kuna hostel nyingi sana hela yako tuukumbuka na ukiwa una ishi mbali na chuo unakuwa na usalama mdogo pia... na hasa kukiwa na watu wengi mno mlio panga kama peter f' huko mbwanga nk kuna vibaka na kadhalika... hivyo matatizo yapo mkuu chamsingi ni kujiandaa kuyakabili tu na kuyaelewa mapema... wakiwa wazoefu watajua jinsi ya kuishi
waswahili wanasema ujinga ni mara moja tu' wakati wa kwenda... wakati wa kurudi utaifahamu njia