Sa tu kuchek kwa namba ganiMnicheki niwapangishe , vyumba vipo
Sa tu kuchek kwa namba ganiMnicheki niwapangishe , vyumba vipo
Me nimegraduate pale last year ni pm for further informationMwenyewe nataka niende nkasome pale ila suala la hostel linanchanganya sana
Sa tu kuchek kwa namba gani
Mimi nimesoma mipango pale so kwa ushauri nichek 0764531080Hazipo mbali sana na chuo
hakuna room ya self ya 50 mipango labda udom na kama ipo utajuta kupanga... ni kuanzia 70... na kuendelea kuna Dubai village, kuna hollyhood, kuna za ndani ni priority kwa wadada na wakiume wenye matatizo mf. ugonjwa, ulemavu...me udom but mipango ninamarafiki nnavojua mimi mipango wengi wanapanga rum self ni 50-70 No 0678049122 UNAWEZA NICHEK HAPO
hizo alizo zitaja ni za chuo ambazo huwapangisha wanafunzi, gharama kwa hostel ya ndani ni lak3.5... hostel za nje ni lak3... kumbuka usafiri una jitegemea kufika chuo na hostel ya LAPF ni ya kupanda daladala kwenda na kurudi ita tegemea ratiba ya vipindi utakavyo kuwa navyo....Tusaidie gharam zake mkuu
kumbuka na ukiwa una ishi mbali na chuo unakuwa na usalama mdogo pia... na hasa kukiwa na watu wengi mno mlio panga kama peter f' huko mbwanga nk kuna vibaka na kadhalika... hivyo matatizo yapo mkuu chamsingi ni kujiandaa kuyakabili tu na kuyaelewa mapema... wakiwa wazoefu watajua jinsi ya kuishiSwala la hostel zipo nyingi sana kikubwa tuu ujiandae kodi coz kuna vyumba vipo vya laki nane na zaidi kwa mwaka ila gharama zinaongezeka zaidi once unapoishi karibu na chuo lakini kuna maeneo kama mwisho wa lami,mbwanga,kkkt,masawe mnadani huko utapata chumba cha bei rahisi lakini katika hostel za chuo ni vurugu sana na usalama mdogo
Jamani muwe makini humu wengine ni matapeli wapo kwa ajili ya kupiga pesa tu...
VP mkuu upo mipango now or Kama upo tafadhal tujuze knachoendelea huko aseeyeah ni kweli utapeli wa mitandao upo tena sana... vijana waje watafute room... wasiogope kutafuta room ukiwa mbali na mtu usiye mfahamu na bei anaficha ni kupotezana na hasa tabia zinazo katazwa hapa jf ni za kwenda mafichoni au PM... ndipo wizi unapo anziaga huko...
kama uta wahi uwezi kukosa room ila ukichelewa kwa kigezo cha kuvuta siku kama upo sekondari na ni mgeni... wanaosoma ni wengi na wengine ni wenyeji tayari wana makazi huko kwa ajiri ya chuo ndio maana wapo makwao wanavuta siku
Sorry mkuu hv deadline ya kureport chuon ni ln msaad kama unafahamKwa mlioreport chuoni mtufahamishe juu ya nini kinaendela huko plz
Shukran mkuu wacha tukarbieKaribu mipango tulisongeshe mkuu
Walfukuzw kisa nn mkuuHivi hao mipango si ndo nliskia walifukuzwa mahala flan kwenye intavyuu kwa kutotambulika au, madogo kabla hamjaenda jaribuni kucheki