Msaada namna ya kutoa mimba bila kupata madhara kiafya

mkuu.....mi naona ungekwenda hospital ukapata ushauri wa kitaalam....
kuuliza humu jf....sawa unaweza kupewa namna....lakini je usalama wako utakuwa mahali pazuri....?
nikimaananisha ukiover bleed labda, au ukihitaji huduma zingine za kitabibu.....itakuwaje....?

Mkuu preta inamaana na wewe unamsaport kutoa mimba,
kumbe wengine hampo kama mnavyooenekana eeeh!
 
Jamani nani anajua doctor mzuri anayetoa mimba bila madhara kwa mama naomba mnisaidie details na gharama.


Hongera na ninaamini kuna kikwazo kinachokusumbua...namna nzuri na salama ni kwenda kumwona nesi akupe maelekezo ya namna utatavyokaa nayo kwa miezi 9 afu itatoka yenyewe bila presha yeyote na watu watakupongeza sna kuona mimba yako inakua na kupumua hapa duniani...Usiogope hapa itatoka salama salmini.
 
Mie nikupe njia nzuri tofauti na hzo ambazo umezisikia kama kunywa chai kali, kutumia vidonge kuflash mtoto dawa zote hzo zina madhara kwan utatokwa na dam nying sana kwa kuwa kunakuwa bdo kuna supply kubwa ya dam kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto ivo ukimtoa mtoto kabla ya mda dam nying sana utoka. Njia yangu ni salama sana na watu wengi wamerudi kunishukuru tena wakiwa na afya zao bila kuzulika kiafya njia yangu mie ni Kuzaa tu hii ndo njia bora ya kutoa mimba.
 
kama unaogopa kumlea mtoto siku hizi vituo viko kibao vya kulea watoto. wala usijitie dhambini kwa kuua kiumbe. Dhambi ya kuua huwa haiishi mpaka utakufa bado unaiona machoni mwako hiyo nafsi utakayokuwa umeiua. Muogope Mungu wako. kama mambo yamekuwa magumu bora uombe msaada watu wakusaidie na siyo kuomba msaada wa kuua. na mbaya zaidi na kwa yeyote atakaye toa maelekezo kwa huyu bint kisha maelekezo yako ikawa ni chanzo cha kuuliwa huyo kiumbe.
 
Killing in any case is evil be it defensive or offensive what if you were aborted before birth. What do you think would have happened!!!!
 
Hapa sitopata ushauri mzuri ngoja niangalie kwingine. Nashukuru kwa kutumia muda wenu kusoma hili.

Pole,
Sijajua uko wapi.....
Najua matatizo ya mahusiano!!!!
Wasichana hawaaminiki na wavulana hamna kitu!!!!!




But, huoni umuhimu wa kuwa na mtoto??? Binafsi nimekata tamaa at my 30 age but natafuta mke anizalie mtoto coz hamna mapenziiiii


Jaribu kufikiria, ungeiachaaaaa......
Lakini kama uko school na unaogopa kufukuzwa, nakupa ruksa kuitoa. Life=education. Nenda hospitali, unalipa 50000 anakupeleka theater!!!!!



Ndimi
JPN
 
Kama mimba ina-complications, nenda MarieStopes upate ushauri. Lakini kama hujisikii kuzaa na kulea, naomba ulee hiyo mimba na ukishazaa uni-PM ili nije kuchukua mtoto na kukuacha unaishi kwa Raha Zako.
 
huna haja ya kutafuta dokta nunua majani ya chai nusu kilo weka maji lita moja chemsha mpaka itoe nusu lita kunywa iyo chai usicheze mbali na nyumbani

hapana usifanye hivyo, unaweza kupoteza maisha, au usizae tena siku za usoni. Sababu haswa ni ipi? Kiuchumi, afya au mwanafunzi? Weka wazi mficha uchi hazai.
 
Jamani nani anajua doctor mzuri anayetoa mimba bila madhara kwa mama naomba mnisaidie details na gharama.


Wewe ni MUUAJI na MBINAFSI, yaani hujui kile ni kiumbe kinafeel na kuumia kama wewe unavosema bila madhara kwa mama. Ni dhambi kubwa sana mwanamke mwenzangu kutoa Mimba, je huoni kuwa huyo mtoto anaetolewa huenda akaja kuwa ndio tumaini lako hapo baadae, ukishazee ka ndio aje akuokoe! na je hudhani kuwa atakuja kuwa mcha Mungu mkubwa aje aokoe watu ? Mwenye Ez Mungu akuongoze wewe na yeyote anaekusudia kufanya hivo !
 
msimuhukumu huyu dada,ni vizuri kwanza kujua sababu. ili kuelewa kwa nini anafanya hivyo.kutoa mimba ni kitu kibaya mno.maybe uta ji feel guilty maisha yako yote.au baadae utakapomuhitaji mtoto na mimba ikawa haiingii.bila ya maelezo binti,watu watakuhukumu tu.
 
Mkuu preta inamaana na wewe unamsaport kutoa mimba,
kumbe wengine hampo kama mnavyooenekana eeeh!

he he...mkuu Henge heshima sana...
hapa si kumsapoti bali ni kumuelekeza njia sahihi...
mpaka ameileta hapa ni ameamua....cha kufanya ili tusimpoteze ni bora tumuelekeze.....
nina imani ni mtu mzima na ana akili timamu.....
kuhusu muonekano.....ni kweli kabisa nipo tofauti na ninavyoandika JF....na maisha halisi ninayoishi....
asante....
 
Nakuona wa ajabu sana kuanzisha uzi kama huu, ningekuwa mimi nisinge fanya hivi ingawa naamini labla kwa sababu sifahamu kiundani kwa nini umefikia uamuzi kama huu; nahisi labda utakuwa umeathirika na afya yako imekuwa mbaya ndio maana hutaki kumtesa mwanao mtarijiwa lakini nakushauri usiamua kufanya hivyo kwa sababu ya maisha magumu (mpaka unaweza kuingia jf kama hivi utakuwa na uwezo fulani coz wapo ambao hawajui lolote kuhusu net na wapo wanao jua lakini hawana uwezo wa kuingia) kama mshikaji kudis pia sio kigezo cha kumkomoa.
nahisi maelezo yako hayatoshereza labda ungeeleza kwa nini unataka kutoa mimba.
baada ya maelezo piga simu namba hii 101 na ueleze shinda yako kwa usahihi utasidiwa
 
Utakae mshauri nadhani unaeza ukapata dhambi kama atafanikiwa kutoa hyo mimba, 2muogopeni mungu jamani...
 
Back
Top Bottom