Help:Mkopo

Faymario

Member
Aug 11, 2011
23
1
Jaman nikitaka kuappeal ninaenda ofisi za bodi au mtando,manake cjui pa kuanzia wala fomu kama najaza inakuaje hii,please help
 
unapo appeal lazma uwe na supporting documments either uwe na death cert ya baba au ya mama,ka hujiwezi kuna fomu utapata kwa mtendaji wa mtaa utaambatanisha
 
kuappeal kunawezekana lakini hebu fafanua nini hasa kinakupelekea kuappeal??
 
wengine 2nataka ku apeal coz hawaja2pa mkopo why WAZAZ we2 hawana UWEZO ingawa hawana UWEZO wakulipa hizo PESA
 
nina hasira na hawa heslb?ngoja tufungue chuo,haiwezekani dogo kakosa loan i hali kasoma gvt na kajitahid na wengine wenye vigezo.haiwezekani tunataka wadogo zetu wawe katika hali nzuri tunavyomaliza..
 
Ackwambie m2,kat ya appeal 100 bac 10 ndo wanafanikiwa.
 
Yaan m2 unapata 1 alaf hupat mkopo, hii nchi ya ajabu sana.aliyeko ud hana mkopo, aliyeko tumain anao. Sa kat ya ud na tumain wap kna wepec wa kumkopesha mwanafunz in terms of fees, !! Tanganyika tambarare.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom