Help me Jehanamu

adden

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
7,035
15,538
Mbongo akiwa dubai kashika sigara anataka kuwasha na hajui jinsi ya kuomba kibiriti kwa kiarabu.mara akamuona mwarabu anavuta sigara ikabidi aombe kiroho ngumu HELP ME JEHANAMU heheheh
 
Kwe kwe kwe
hata cha kuombea uji hajui duh..
hana tofauti na aliesema jobhundred means kazimia.. ama tomatowatch means nyanyasa
 
Mbongo akiwa dubai kashika sigara anataka kuwasha na hajui jinsi ya kuomba kibiriti kwa kiarabu.mara akamuona mwarabu anavuta sigara ikabidi aombe kiroho ngumu HELP ME JEHANAMU heheheh
Baaabeeekii,help me jehenam.
Keep out of reach of children
 
Back
Top Bottom