Help me here with just an advice.

May 31, 2013
9
0
Hello members!,hope u doin good n here!,these are my necta form four results;hist C ,civ C,geo D,kisw C,eng C,lit C,phy C,bio C,chem C ,math F.now with this will I be taken to a government school for PCB with mathematics F? Please help me here that I can settle my mind.
 
Hello members!,hope u doin good n here!,these are my necta form four results;hist C ,civ C,geo D,kisw C,eng C,lit C,phy C,bio C,chem C ,math F.now with this will I be taken to a government school for PCB with mathematics F? Please help me here that I can settle my mind.

hakuna kisichowezekana tanzania! hofu ondoa!
ila nafasi ni ndogo sana! ni km mwenyekiti wa ccm ahamie chadema!

USHAURI!
Km/endapo ukichaguliwa kwenda PCB gov school itakubidi ukaze kwelikweli, BAM(basic applied mathematics) upate Subsidiary hiyo dhambi ya kupata F mathematics kwenye masomo ya sayansi ni kubwa sana, na itachukua muda sana kufutika! mbele ya safari itakuwa inakujia km zimwi kwenye mishemishe zako!

Relax!
 
kwa hayo matokeo uwezekano wa kupata shule ni mkubwa kuzingatia na matokeo ya mwaka huu ila kama mdau alivyokushauri juu kama utapata shule hii comb jitahidi kufaulu BAM kwa kweli maana kama una utataka kusoma science related course lazima kigezo cha basic maths o-level kitume au BAM vigenevyo itakuwia ngumu sana .. nakuombea upata hiyo PCB utimize ndoto zako ila kasome uelewe uje tuokoe taifa letu...
regards
 
Ktk machaguo yako je ulichagua combination ya arts angalau moja???km jibu ni ndio ,basi utapelekwa kwenye comb ya arts uliyoichagua!!

Mwenye F ya maths kuchaguliwa kusoma comb ya sayansi kwenye shule za govt ni ndoto za mchana!!!
 
HKL ingekuhusu kweli, PCB unataka kuwa dokta?

Jiulize unataka kuwa nani? Kama HKL itakufikisha upendapo, basi soma HKL, lakini kama unakotaka kwenda lazima usome PCB, haya endelea.

NAweza fundisha twisheni ya hesabu, ila aghali kidogo maana lazima ufaulu hata uwe na nazi.
 
Back
Top Bottom