Help me find the job wanajamii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Help me find the job wanajamii

Discussion in 'Matangazo madogo' started by BabaTina, Sep 5, 2008.

 1. BabaTina

  BabaTina JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2008
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 362
  Likes Received: 373
  Trophy Points: 80
  JAMANI MAMBO VIPI WANAJAMII MIE NI MOJA KATI YA WATANZANIA WASIO NA AJIRA LAKINI NIPO KATIKA MCHAKATO MZIMA WA KUTAFUTA KAZI LAKINI NIMEONA NI BUSARA NIKIWASHIRIKISHA WANAJAMII WENZANGU KATIKA UTAFUTAJI HUU KWANI MPAKA SASA NIMEKWISHA ANDIKA BARUA KIBAO AMBAZO NAHISI ZIMETIWA KAPUNI ZIKISUBIRI HURUMA YA MWENYEZI MUNGU ITOKEE.

  YOU KNOW KUNA HATA BAADHI YA SEHEMU NILIZOPITA WAKANIAMBIA THEY CANT GIVE ME JOB COZ I DONT HAVE ANY EXPERIENCE! WONDERFULL ENOUGH THEY DIDN'T EVEN TRY ME TO SEE IF I CAN DO THE JOB,GUSH!

  SOMEPLACES NILIWAOMBA NIFANYE 'VOLUNTEER' BUT STILL WALINIANGALIA FROM THE TOP OF MY HEAD TO TIP OF SHOE JUST TO SEE IF I AM LOOKING LIKE THEM,I DONT KNOW WHAT THEY RULED OUT OF ME.

  IT SEEMS AS NO BODY KNOWS ME THATS WHY THEY DONT WANT TO GIVE ME A JOB.AS THE REASON PEOPLE I NEED YOUR HELP TOO COZ I BELIEVE KUNA WATU KATIKA HII FORUM WANAWEZA KUTUINGIZA KATIKA KATIKA SYSTEM SIYE TULIOJITUTUMUA KUPATA KAJIELIMU KADOGO TENA KWA MBINDE.

  PLEASE WHEN YOU READ THIS MASSAGE KNOW THAT I NEED YOUR HELP

  I HAVE A B.A in MASS COMMUNICATION

  THANKS.
   
 2. D

  DAR si LAMU JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2008
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 2,942
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  ..umejaribu Chadema au CCM?

  ..ndio, hata wao wanaweza kukupa ajira. wakati wa kampeni umekaribia!
   
 3. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #3
  Sep 6, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
 4. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #4
  Sep 6, 2008
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135

  Safi sana Shy,Unamoyo wakuwasaidia sana watu Mungu ndio atakulipa wanadamu hatuwezi kukulipa endelea hivyohivyo huwa naeshimu mchongo wako,Tangia miaka hiyo naingia Jambo forums mpaka jamii naona jinsi ambavyo hauchoki hili song.
   
Loading...