Help khusu jns ya kujua loan%,hw mch nnapasw kulipia tuit fee,{1st yr mnngEng.UDOM }

Su Hai

Member
Sep 28, 2012
5
0
Mkopo nimepata 4282500,nnawezaje kujua hii ni %,pia nntapaswa kulipia tuit fee kiasi gani?,plz help!
 
Hiyo itakua ni 90% maana mimi nimepewa kidogo zaidi ya hiyo, tuko pamoja mining Eng mkuu
 
mm nawashauri msiwe na mchecheto maana mchanganuo wa huo mkopo utakuja tu, kama udsm tayar washatoa mchanganuo wa mtu analipiwa ada shs ngap na yy ajazie shs ngap, tulieni jamani msiwe na wacwac utakuja mchanganuo
 
ok bac haina gwera km vp ngoja 2xubiri.
 
mm nawashauri msiwe na mchecheto maana mchanganuo wa huo mkopo utakuja tu, kama udsm tayar washatoa mchanganuo wa mtu analipiwa ada shs ngap na yy ajazie shs ngap, tulieni jamani msiwe na wacwac utakuja mchanganuo

Huo mchanganuo unatoka lini mkuu mbona cku zimeisha?
 
hiv qualifications za kuchaguliwa hiyo fani ni zipi?

Three principle pass in PHYSICS,MATHEMATICS, CHEMISTRY or GEOGRAPHY
so hapo lazima upige PCM au PGM.
and PHYSICS na MATHEMATICS ni lazima usome A-Level
 
Thanks mkuu,ndo namalizia form 4 ilboru ngoja nikajaze hiyo PCM
 
Kale msuli tena wa ukweli uache kushinda Facebook na twitter upige msuli tu. usisahau kumuomba mungu sana, ukifanikiwa niko hapa kukudaidi kwa hali na mali ili ufaulu fresh form six kwa kukupa techniques za usomaji na what books to study,
KARIBU SANA
 
nashidwa kuelewa kwanini viongoz wangu wa dini walichemka when i was in high school na secondary level. 2much of everythng is always harmfull i guess
 
thanks bro nime ku PM
 
nashidwa kuelewa kwanini viongoz wangu wa dini walichemka when i was in high school na secondary level. 2much of everythng is always harmfull i guess

Mkuu DINI sio lazima viongozi watilie mkazo hata wewe binfsi inatosha
 
Back
Top Bottom