Help: How to bypass admn. Passwrd

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,040
21,513
niaje wakuu? kuna jamaa wangu amesahau admn. passowrd yake sasa anahitaji kulogin ila ndio ameshindwa. je kuna msaada gani naweza kumpatia ukitoa kuformat au kureinstal windows?
 
Anapowasha Computer abonyeze F8, hii ni mara tu anapowasha kisha achague safe mode ikishawaka nenda ktk control panel user account change user account kwa kuondoa pasward.
 
Anapowasha Computer abonyeze F8, hii ni mara tu anapowasha kisha achague safe mode ikishawaka nenda ktk control panel user account change user account kwa kuondoa pasward.
<br />
<br />
shukrani za dhati mkuu
 
Back
Top Bottom