Help!anayejua zilipo office za International Rescue committee,Dar es salaam!

Blessed Keinerugaba

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
4,711
4,642
Heshima kwenu nyote!
Rejea mada tajwa hapo juu,kwa anayejua physical address/mahali zilizopo office za international Rescue Committee zilizopo Dar es salaam,naomba anipatie muongozo wa kufika eneo hilo,natanguliza shukrani!
 
Akiba , Bibi Titi Mohamed Street/Azikiwe Street , Dar es Salaam,Tanzania

1309124606_phone.png
Tel: +255 22 6588
1309124785_fax.png
Fax:
1309125013_contact.png
Email: fieldco@irctz.org

Mkuu Gilo24, nadhani ni hao jamaa, be blessed.
 
Last edited by a moderator:
Nakupa direction kwa kutokea kituo cha daladala cha Morroco Kinondoni. Haya panda magari ya kuelekea Kawe yanayopita ZANTEL then shukia kituo cha kwa mwalimu, rudi nyuma kama hatua mbili mkono huo ulioshukia wa kushoto kuna barabara ya Rose Garden ile ambayo inatoboa mpaka kituo cha daladala cha Sayansi fuata hiyo barabara ya Rose Garden kama dakika 3 then utaona kibao cha International Rescue committee mkono wako wa kulia.Ni ofisi yenye kigorofa kimoja.Haya kila la heri na Mungu akutangulie
 
Thanks!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom