Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu mgeni umetoka wapi?? Facebook au instagram tunaomba tabia za huko uziache huko hukoNiaje humu wenyej
Kila nikipitapita jukwaa hili huwa sikukosi kabisa mkuu nipe siri ya huku nami niwe nakaa mlangonisalama tu vua hilo kavelo ndo upite ndani! halafu kiingilio 5000 mi ndo muhasibu leta hela!
me hawa wageni wananifataga wenyewe nashangaa nazifuma tu post zao kusema kweli hili jukwaa huwa sipitagi mara nyingi...! lbd wahoji hao wageni wenyeweKila nikipitapita jukwaa hili huwa sikukosi kabisa mkuu nipe siri ya huku nami niwe nakaa mlangoni
me hawa wageni wananifataga wenyewe nashangaa nazifuma tu post zao kusema kweli hili jukwaa huwa sipitagi mara nyingi...! lbd wahoji hao wageni wenyewe
nyongeza nimekulove ghafla..!
unaenda wapi sasa?