Hellow!

Hisopo

Member
Jun 28, 2021
21
39
Habari wana jamiiforum,

Nikiwa member mpya napenda kuwasalimu nyote, nafurahi leo hii kujiunga pamoja nanyi.

Natumai nitaelimika, kunufaika na kufaidika kwa michango yenu mbalimbali kwenye mada tofauti tofauti na majadiliano yenye tija!

Asanteni sana!
 
Karibu sana bila shaka wewe ni mlimbwende!? Kama jibu ni ndio upo mahali sahihi usisite kunieleza jambo lolote linalokutatiza
 
Karibu sana ila badili hio DP tafdhali
Ahahaaa! Huyo kwenye Dp ni "mtoto tu!" Sidhani kama ana athiri chochote mkuu!

Lakini kwa heshima yako nitabadiri mkuu!
FB_IMG_1452366583491.jpg
 
Back
Top Bottom