Hellow

Utatabili=x
Utatabiri=v
Mtu mwenyewe hata kuandika hujui alafu unajigamba eti umekuja kuleta mapinduzi!
Labda mapinduzi ya kutoa ndogo ndio utayaweza
Ndo kilichokuleta? Kumbe bora ya wanaume wenzako hapa wanaonesha ubaharia wao kuliko wewe mbeambea usiejua kukosea!!
 
Natumai nitakutana na watu wenye hekima hapa, nimekuja na mapinduzi, nimekuja kubadilisha mchezo hapa, Ahsanteni Mods na Members wote, mnipokee vyema wakuu.
Yaani uje kuibadilisha Jf wewe! Yaani uipinduepindue hadi iwe ya kisasa?

Matusi yote yaliyomo na takataka zote, utazisafisha kwa kutumia nini?

Rais Mwinyi mwenyewe alikabidhiwa ufagio wa chuma lakini akashindwa kusafishia takataka zilizokuwepo, sembuse wewe makinda?

Members na moderators wao waone hivihivi tu, hawashikiki, hawawezekani.
 
Kaa mkao wa kula Sakasaka.
 
Eh eh eh japo umenichekesha lakini hapa kweupe Mr, pambana na

Eh eh eh umenichekesha, hapa KENZY huku MLEVI kazi ninayo kwa kweli, Ee Mungu nihurumie mtoto wako.
Mimi nimefanyaje? Unadhan npo interested na wewe unatania mkuu wote huku Dada zangu

Eeh umekuja na weapons gan kama ulvyosema awali?
 
Haloo, japo mbuzi lakini kamwe sifi kwa muuza supu mie upo?
Kha! Unaonekana kuwa mtamu ilihali wajitia udosari! Nami sitaki kuipoteza yako Hali ntakupata japo kwa asali!. Hakuna mbuzi Wala muuza supu ya mbuzi Bali wapenzi wanaotaka Kula upenzi!.. usijitie hutaki kumbe wataka bwana niko hapa mwenye huba bashasha.. njoo mpenzi wa enzi nikuimbie utenzi,njoo nikuenzi nikupe mapenzi.
Wangu mtamu wa hamu nakupenda bila haramu.. usiwe mtesi wa moyo wangu ukawa chachu iso hamu!
Chukua moyo wangu dhamana kwa penzi langu.
Nakuvika pendo langu,kwako Kama funguo... Nafungua furaha yako kwako niwe vutio.. malaika wa nafsi yangu usinipe kimbilio,Bali huba la mahaba nikufute kilio.
 
Maneno matupu hayatoshi, vina na yako misamiati, jipange upangike, tukupange upigike, mpenda vitonga, uso koma,jana, leo kutwa kuniwinda kipya kinyemi mimate kukutoka.
 
Kha!!! Umeacha mbachao kwa msala upitao....
 
Wanaonyesha ubaharia gani sasa hapo wewe mwanamapinduzi mtoa ndogo
Ntaanza na wewe, unajua kuna type nyingi sana za watu humu duniani na sijui kwanini Mungu alifanya hivi. Yaani wengine wafupi, wachoyo,wachokonozi kama wewe, wavivu, n.k
Ngoja niishie hapa nisije nikakuanzishia thread buree.
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom