Miss weapon
Member
- Sep 9, 2019
- 94
- 66
Natumai nitakutana na watu wenye hekima hapa, nimekuja na mapinduzi, nimekuja kubadilisha mchezo hapa, Ahsanteni Mods na Members wote, mnipokee vyema wakuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natumai nitakutana na watu wenye hekima hapa, nimekuja na mapinduzi, nimekuja kubadilisha mchezo hapa, Ahsanteni Mods na Members wote, mnipokee vyema wakuu.
Mhh mbona wanitisha Mla vitumbua?Karibu, ila usijambe jambe mzee.. Huku tupo tumetulia
Mhh mbona wanitisha Mla vitumbua?Karibu, ila usijambe jambe mzee.. Huku tupo tumetulia
Mhh mbona wanitisha Mla vitumbua?
Haya muzee...Natumai nitakutana na watu wenye hekima hapa, nimekuja na mapinduzi, nimekuja kubadilisha mchezo hapa, Ahsanteni Mods na Members wote, mnipokee vyema wakuu.
Nipo shemela...Shem Ulimakafu uko wapi?
Nilishangaa mgeni kafika halafu Mkuu wa kitengo cha kukaribisha hujatia neno Shem.Nipo shemela...
Ahsante sana MrKaribu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT.
Kabla ya kuwa member nimepata kupitia hatua ya ugeni,( guest) hapo nimepata kuwafahamu kidogo mods n.kWe mwenyeji saaaaaaaana, unawajua hadi Modes????
Dhana ya mifumo dume iliyo jijengea mizizi humu JF, Ukuu, uonevu na haki sawa dhidi ya uonevu wa kijinsia.Mkuu Umekuja Kubadirisha Mchezo Gani?
Tena kuna mpango kabambe kuhusu hao 7800, nadhani safari hii kazi wanayo eti!! TutawakomeshaUmekuja kuleta mapinduzi? Okay Ngoja waje halafu baada ya wiki uje kulalamika hapa umepewa nauli 7800/=