Hellooooooooooo

Ainekisha

Member
Nov 1, 2010
10
0
Habari wadau? Kwanza hongera wapiga kura wa jimbo la Nyamagana na Ilemela kwa ushindi wa kishindo.
 
Habari wadau? Kwanza hongera wapiga kura wa jimbo la Nyamagana na Ilemela kwa ushindi wa kishindo,originally posted by AINEKISHA

Tupe matokeo zaidi mkuu,ina maana na Diallo naye ameanguka!!!
 
Mbona Bw Kabwe hataki kutangaza ushindi huo?au anataka kuchakachua matokeo?

  • :rip: Masha


 
Back
Top Bottom