Hello

SWADO

Member
Dec 11, 2010
83
2
Hellow, I just want to say hello kwa wadau wote popote pale mlipo ndio kwanza nimejiunga
 
Tafadhari siku nyingine usalimie ukiwa nje, si haiba kwa sisi wabantu kujitambulisha tukiwa tumishaingia chumbani kwa watu. Nenda kwenye jukwaa la utambulisho,
 
Ni kweli tunahitaji mabadiliko ya katiba lakini bado tunahitaji mikakati thabiti la sivyo itakuwa ni blabla tu tutaendelea kuburuzwa.
 
Sawa wadau nitajitambulisha kwenye jukwaa la utambulisho siku nyingine, kuku mgeni hakosi kamba mguuni.
 
Sawa wadau nitajitambulisha kwenye jukwaa la utambulisho siku nyingine, kuku mgeni hakosi kamba mguuni.
no umesalimia kama popooooooooooooooooooooooooooooooooooooooh!utakuta kichwa cha habari hello habari yenyewe sasa mimi mtoto wa general nani sijui aliyefariki huko lagos akaacha mamilioni ya pesa kwa acc yake so nisaidie kuzitoa maana naishi kama mkimbizi kwenye kambi ya,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,kumbe upopo tu!popoooooooooooooooooooooooooooooooooh
 
Ni kweli tunahitaji mabadiliko ya katiba lakini bado tunahitaji mikakati thabiti la sivyo itakuwa ni blabla tu tutaendelea kuburuzwa.
Sasa Swado unachakachua Jukwaa! Hili suala la Katiba Mpya linahusu nini na kujitambulisha kwako?
 
Back
Top Bottom