Hello!

Mzee Dogo

JF-Expert Member
Nov 13, 2010
400
140
Ni tumaini langu kuwa mko vizuri ndugu zangu wana jf, mimi ni mgeni katika ukumbi huu na hivi leo ninaomba baraka zenu wazee na watangulizi wangu ili tushiriki kwa pamoja katika kudadavua na kuchangia mijadara mbalimbali inayolihusu taifa letu na maisha yetu ya kila siku.
Natanguliza shukrani
 
we ni yupi kati ya mzee na dogo!:welcome:
 
Endapo umri wangu ni wa kuitwa mzee halafu jina langu ni Dogo ungependa kuniita nani? Naamini sasa utakuwa unalo jibu sahihi kuhusu swali lako vinginevyo nashukuru kwa ukaribisho wako, Katavi nashukuru pia.
 
Back
Top Bottom