Joyce joyce
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 457
- 1,973
- Thread starter
- #21
Nielekeze namna ya kuweka Picha nimeweka Lakini nashangaa haionekaniWeka picha
Sent using Jamii Forums mobile app
Nielekeze namna ya kuweka Picha nimeweka Lakini nashangaa haionekaniWeka picha
Ungemuuliza kwanza, nawewe mbona hujaweka picha?.Nielekeze namna ya kuweka Picha nimeweka Lakini nashangaa haionekani
Sent using Jamii Forums mobile app
Japo maswali ninayotakiwa kuyajibu ni ya kuhusu hapa.Lakini kujibu hilo si kweli,bali ni Send off na si kukaribisha....Karibu kesho tupeane OfaSawa Lakini nasikia kuwa dar kuna sherehe ya kuikaribisha corona rasmi je hilo ni kweli au ni maneno tu Ya watu ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unauliza swali au jibu..?Kwani huyu Joyce joyce ni "Ke" mpaka umwite mama KENZY ???
Umejifunzia wapi kutumia jf maana humu huwa tunatoa kozi kwa wageni wote. Lakini mgeni wewe unajua mpaka avatar,unajua pm,unajua kuquote reply,unajua kufungua uzi.Nielekeze namna ya kuweka Picha nimeweka Lakini nashangaa haionekani
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani anaolewa?Japo maswali ninayotakiwa kuyajibu ni ya kuhusu hapa.Lakini kujibu hilo si kweli,bali ni Send off na si kukaribisha....Karibu kesho tupeane Ofa
Send Off ya Corona...bai bai hapa TZ
nimeisikia Hiyo harufuParody fc
Kwani bandiko langu lilikuambia kuwa Mimi ni mgeni? Halafu wageni hao kwani huwa wanatokea wapi?huyu siyo mgeni.
Curiosity killed the Cat.Kwani bandiko langu lilikuambia kuwa Mimi ni mgeni? Halafu wageni hao kwani huwa wanatokea wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
nimeisikia Hiyo harufu
Poa Mkuu, Lakini nimesikia kuwa kila mtu humu eti ni Mkuu, je hata Mimi nitakuwa Mkuu kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
✊💦
ndio tiyariPoa Mkuu, Lakini nimesikia kuwa kila mtu humu eti ni Mkuu, je hata Mimi nitakuwa Mkuu kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuuu mbona mnaniogopa hivyo? Msiniogope bhana Mimi sio kigogo wala sio mbowe kuweni na amani wakuuu maana Tanzania watu wanaoogopwa ni wawili tu kigogo na mbowe, hao ndio wanaomega bajeti kubwa ya taifa kuwadhibiti huo ndio ukweli Kama wabisha niambie ni mtu gani ambae aliweza sababisha wabunge 30 kununuliwa na kuagiza makampuni ya nje ya IT kuja kuwashughulikia? Ni mbowe tu na kigogondio tiyari