Hello waungwana,

Al-Maul

New Member
Apr 22, 2012
3
0
Nilikua naonba msaada nifanye ufundi gani simu yangu iwake?
aina Blackberry curve 8520 nilikua naingiziwa app na kwa kutumia comp na cm km yangu kwa kuhamishia ma file, mara nikadisconnect bila kumaliza,
hadi leo haijawaka ina lode files bila kuwaka yote, nifanye nn?
 
same problem here. Bold 9700 inawaka na kujizima mpaka chaji inapoisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom