Hello wana jf wote

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
Naomba mnipokee,mgeni apa ndio nimekuja leo,japo nilikuwa napita tu,lakin ndio nimeingia rasmi,aman na upendo wana jf wote na wanaharakati wote
 
Naomba mnipokee,mgeni apa ndio nimekuja leo,japo nilikuwa napita tu,lakin ndio nimeingia rasmi,aman na upendo wana jf wote na wanaharakati wote
Umekuja leo kweli? Mbona naona tafadhali una posts 10?? Acha uongo ungali mgeni wewe!
 
bora yako hata wewe umeweza kupost, mi nimeshindwa kabisa jamani wazoefu naombeni msaada
 
Karibu sana. Feel at home. Zingatia sharia usije ukapewa BAN.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom