Chacharika
Member
- Nov 6, 2010
- 51
- 13
Kwanza naweka heshima mbele kwenu wanajamii kwa michango yenu ya kujenga. Nami leo nimeamua kujiunga nanyi katika chombo hiki huru cha kuchangia mawazo yetu yanayojenga. Hope mtanipokea.:yo:
Asante sana Afrodenzi. Jina hilo lisikutishe ni kwa vile tu nipo machachari katika kufanya mambo yaende vema