F Flee Member Nov 1, 2010 14 0 Dec 16, 2010 #1 wakubwa shikamooni, wadogo marahaba, saizi yangu mambo vipi? mwenzenu nilikuwepo ila siku jitambulisha rasmi. naomba mnikaribishe humu jamvini.:drum:eace:
wakubwa shikamooni, wadogo marahaba, saizi yangu mambo vipi? mwenzenu nilikuwepo ila siku jitambulisha rasmi. naomba mnikaribishe humu jamvini.:drum:eace:
M Mabel JF-Expert Member Sep 1, 2010 1,273 678 Dec 16, 2010 #2 Flee said: wakubwa shikamooni, wadogo marahaba, saizi yangu mambo vipi? mwenzenu nilikuwepo ila siku jitambulisha rasmi. naomba mnikaribishe humu jamvini.:drum:eace: Click to expand... Usiseme walio saizi yako, sema unaolingana nao. Uliingia kimya kimya, nini kimekusibu huko duniani hadi urudi stage ya utotoni? Karibu sana mkuu.
Flee said: wakubwa shikamooni, wadogo marahaba, saizi yangu mambo vipi? mwenzenu nilikuwepo ila siku jitambulisha rasmi. naomba mnikaribishe humu jamvini.:drum:eace: Click to expand... Usiseme walio saizi yako, sema unaolingana nao. Uliingia kimya kimya, nini kimekusibu huko duniani hadi urudi stage ya utotoni? Karibu sana mkuu.