Hello wajameni

Flee

Member
Nov 1, 2010
14
0
wakubwa shikamooni, wadogo marahaba, saizi yangu mambo vipi? mwenzenu nilikuwepo ila siku jitambulisha rasmi. naomba mnikaribishe humu jamvini.:drum::peace:
 
wakubwa shikamooni, wadogo marahaba, saizi yangu mambo vipi? mwenzenu nilikuwepo ila siku jitambulisha rasmi. naomba mnikaribishe humu jamvini.:drum::peace:
Usiseme walio saizi yako, sema unaolingana nao.
Uliingia kimya kimya, nini kimekusibu huko duniani hadi urudi stage ya utotoni?
Karibu sana mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom