Hello there

D'Nali

New Member
Jan 8, 2010
4
0
Hello everyone I'm a new member so tutakuwa pamoja ndani ya jamii forums.
Kwa sasa ni hayo tu
 
Karibu sana jamvini, pata kinywaji unachopendelea katika ile friji ya kwenye kona. Hiyo appartment ya opposite na ya kwangu ni fully furnished na ni nzuri sana hivyo ichungulie muda wako ukikuruhusu kama ukiipenda basi tutakuwa majirani lakini jirani mimi kwa kupiga mabomu ya kuomba chumvi, sukari au majani ya chai ndiyo mwenyewe :). Nakuomba kama ukiamua kuwa jirani yangu usinichoke kwa mabomu yangu hahahahahah Karibu sana Mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom