Hello people can you pass here for a moment

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
12,321
11,314
Habarini

Naomba kuulizia kwa yeyote anaefahamu sehem nzur ya kawaida ya kupumzika ambapo unaweza kula ama kunywa huku ukiwa unaview bahari na kupata upepo...nafikiri christamass hii sehem kama hizo ndizo za kwenda ukizingatia na joto hili la dar.

Asanteni. and meryy christmass and happy new 2017 to all JF members.
1482584719779.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom