Hello! Naomba msaada wa jinsi ya kufuta mafaili kwenye back up disk iliyojaa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hello! Naomba msaada wa jinsi ya kufuta mafaili kwenye back up disk iliyojaa!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Soki, Feb 23, 2011.

 1. S

  Soki JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Hello wana JF!
  Niliigawa Hard Disk yangu katika sehemu 4: Local Disk C, E, F na G ambapo G ni kwa ajili ya Back Up. Tatizo ni kwamba G imejaa na ninapojaribu hata kufuta baadhi ya mafaili inaniletea ujumbe huu: "There is not enough space on the disk to perform this operation" Je nifanyeje ili kupunguza mafaili katika G na nifanyeje ili next time isiwe inajaa kwa haraka? Please!
   
 2. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #2
  Feb 23, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Hilo file iunatokaa kufutalina size gani?

  • jaribu kucheki kwenye recyle bin yako hakikisha iko empty
  • Bonteza shift + DELTE baada ya kuchagua mafile unayotaka kufuta
  • jaribu kufuta file moja moja kwenye hiyo G. futa nyia ya kuselect Shift+ Delete kwa pamoja
  • Jaribu kufuta kwa kutumia DOS command( DELETE command)
  • kwa sababu ni backup kama hakuna file unazohitaji unaweza kujaribu kufanya format hiyo G kwa kutumia windows GUI au Dos Command
  may be on of them will work
   
 3. S

  Soki JF-Expert Member

  #3
  Feb 23, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mafaili ninayojaribu kufuta ni madogomadogo sana kama 50Kb etc. Nimejaribu kutumia option ya kwanza hadi ya 3 katika hizo ulizonipatia lakini ninapojaribu kufuta inakuja msg ile ile kwamba there is not enough space on the disk to perfom this operation.Unfortunately sijui kutumia DOS COMMAND. Kui-format nachelea nisije nikapoteza vitu vya muhimu. Ndiyo sababu nataka tu ku-free up more disk space
   
 4. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #4
  Feb 23, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Hizo backup files ni back up za program fulani kama za MSQL server, ORACLe , MySQL au ni personal backup file zako unakuwa unaziweka manually?.

  Kama ni backup za program fiiles kama Database then ulitakiwa kufanya backfiles ziwe deleted after every three daysor two days. Kwa hiyo back up file ya database iliyotengezwa tarehe 20 inafutwa ikifika tarehe 23. ya tarehe 23 inafutwa ikifika tarehe 26.

  NB. kama ni backup za database huna haja kuendelea kuwa na backup ya database ya mwezi wa kwanza wakati unayo bakcup ya file ya jana. U need kuwa na backup plan inayoenda na uwezo wa space uliyonayo

  Otherwise fafanua unatumia OS gani na size ya hiyo partition yako ya G . na type of files zilizomo kama ni extension ya .bak , au .trn a ni word file, note pad files Yaani ni mfile ya type gani ?
   
 5. S

  Soki JF-Expert Member

  #5
  Feb 23, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Hapana situmii server. Ni zangu naziweka manually.Actually nimeset computer yangu kwamba inafanya back up automatically. Natumia Vista Home Premium. Actually inafanya backup ya chochote nilichosave katika C, E na F; iwe ni pictures, songs, videos, word files etc. Na partition ya G ni kama 100Gb. Namna folders zilivyoandikwa ni 'Backup files.zip' lakini ukizifungua unakuta files kama zinavyokuwa saved katika sehemu nyingine yoyote katika Computer na naweza kuzifungua na kuzisoma na extension zake iwe ni pub kwa publisher nk
   
 6. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #6
  Feb 24, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  uummm...why wud u nid to back up everythng u save on ur cmptr? N most of the times,back up files are stored on external HDDs! Ni vizur uiformat hyo G then utafute Hdd ya nje ufanye backup upya b4 u loose ur data!
   
 7. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #7
  Feb 24, 2011
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Naungana na Hinx hapo juu, backup haina maana sana kama unaifanya katika HDD ileile japokuwa unaweka katika partition tofauti. Hii ni kwa sababu HDD ikifa na hizo backup pia unazipoteza. Umefanikiwa kutatua tatizo lako?
   
 8. S

  Soki JF-Expert Member

  #8
  Feb 24, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Bado sijafanikiwa kutatua tatizo langu! Actually nimekuwa nawaza kuiformat tangu siku nyingi ila nimependa kwamba hiyo iwe option ya mwisho kabisa. Pia nimekuwa najiuliza kwamba je hakuna jinsi ya kuset ili kwamba baada ya muda maalum back up ya zamani ifutike automatic na kuacha nafasi kwa backups mpya? Bado najaribu kufuta files but that same msg comes again and again!
   
 9. S

  Soki JF-Expert Member

  #9
  Feb 24, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  sure!
   
 10. S

  Soki JF-Expert Member

  #10
  Feb 28, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  But my issue is not yet settled!
   
Loading...