Hello! JF Members

CHRISTURKER

JF-Expert Member
Nov 24, 2012
266
54
Mie ni mgeni wenu jamani hapa JF,naomba mnikaribishe na naahidi kutoa ushirikiano na kufuata taratibu zote za hapa.Mbarikiwe sana
 
Karibu.

Haya ndo utakayo yaona jf: mkinzano wa mawazo; hoja za mashiko; uwazi na ukweli pasipo woga; matusi (japo kuna ban); baadhi ya jf kutetea uozo(sijui kwa masilahi ya nani). utayaona mengi...in short. Karibu tena.
 
Karibu sana ila tahadhari kama unatokea lumumba uje ufanye kazi ya magamba hapa utapaona pachungu....
 
Upo upande gani mkuu,magamba au jeshi la kukomboa Tz iliyochakazwa dikilia interest mapema
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom