Hello jamiifamily

salama....karibu.....sijui nimekuelewa?.......unajitambulisha au?....
 
Wengine umetuonea wapagani hujatupa salamu yetu.
karibu janvini mkuu
Akhsante sana,unisamehe kwa niaba ya wapagani wote,nadhani hiyo inakwenda na kwa wakomunisti pia wakina kingunge maana salaam yao sijaitoa pia na siifahamu.asante mtu wangu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom