Hello jamiifamily

toxic

JF-Expert Member
Dec 11, 2010
771
195
Bwana yesu asifiwe,asalaam aleikhum,nimependa kujiunga hapa kwa sababu ya habari huku ndani ziko informative na michango ya members wengi inaonyesha mtu za huku ndani ni ni vichwa.nimekuja shule na nimekuja ku'share' kidogo nilichonacho akhsanteni.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom