Shadow7 JF-Expert Member Sep 28, 2020 13,603 20,060 Mar 24, 2021 #2 Karibu sana Jf, Umeshalipia hela kwaajili ya huduma? mimi ndie mtunza hazina humu fanya upesi niipate. Usisahau na ya kutolea
Karibu sana Jf, Umeshalipia hela kwaajili ya huduma? mimi ndie mtunza hazina humu fanya upesi niipate. Usisahau na ya kutolea
Nyoka mwenye makengezaa JF-Expert Member Nov 22, 2019 788 1,050 Mar 24, 2021 #3 Karibu sana. Jambo la mapema ni kwenda kwenye uzi wa "jinsi nilivyokula tunda kimasihara" na kuweka ushuhuda. Usipofanya hivyo moderator atafuta ID yako ndani ya siku 7
Karibu sana. Jambo la mapema ni kwenda kwenye uzi wa "jinsi nilivyokula tunda kimasihara" na kuweka ushuhuda. Usipofanya hivyo moderator atafuta ID yako ndani ya siku 7
U Ulimakafu JF-Expert Member Mar 18, 2011 29,026 10,673 May 21, 2022 #5 Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.