Hello G.T

Asanten wakuu
Alaf kuna watu huko mtaani wanadanganyana eti kujiunga JF mpaka kiingilio cha 30K sijui hili limekaaje.Mods n vema mkaweka ABC(s) za jins ya kujiunga kwa uwaz maana wapo Guests wengi ila husta kujiunga kwa sabab kama hizo. Japo siyo vizur sana jukwaa hili likivamiwa na watu wenye u-facebook!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alaf kuna watu huko mtaani wanadanganyana eti kujiunga JF mpaka kiingilio cha 30K sijui hili limekaaje.Mods n vema mkaweka ABC(s) za jins ya kujiunga kwa uwaz maana wapo Guests wengi ila husta kujiunga kwa sabab kama hizo. Japo siyo vizur sana jukwaa hili likivamiwa na watu wenye u-facebook!!
Unahitaji mb zako tu isitoshe ukiwa na freebasics app unaweza ingia bila mb kwa hiyo huo n uongo .karibu sana
 
Back
Top Bottom