Hello from Kenya

Mbona haujaandika "nikikupea utawezana..?"

Sasa kwa hiyo miaka si unafungisha breki za kenge wengi tu humu..!😅

Hivi wanawake nani kawadanganya kuwa waowaji wanaanzia 30 years..?
Hivyo sisi 20's tunakwama wapi..?

Kumbukeni nae anena utafika wasaa nao mwali sita watamuendea bwana mmoja wakimtaka waitwe kwa jina lake!,huku wakinena chakula tutajitafutia ila tu turuhusu tuitwe kwa jina lako..!
Siku na wasaa uukaribu😅
 
Vijana wa 20yrs bado they are young ....bado wanaenjoy ujana wao and I don't want them to miss that stage
 
Vijana wa 20yrs bado they are young ....bado wanaenjoy ujana wao and I don't want them to miss that stage
🙄🙄
Hivyo ndo hunitaki kisa umri kweli..??
Sawa katafute hao wenye umri wao ambao badala waote meno wanaota mapengo!!
 
Kumekucha
Kumekucha!!!!
Fungua PM Upokee Ujumbe
Tupo Uchumi Wa Kati
Mambo Mengi Sana, Muda Mchache
Nikuache
Kupanga Ni Kuchagua
 
manzi wa kenya hamna kitu, bora hata uganda.
Zaidi sisi wanaume wa Tanzania tunawapenda sana warembo wetu wa Kitanzania.
btw: kila la heri Kenyan toto
 
Majirani wetu mpoo!

I'm 25yrs lady from Kenya searching for my better half 30-50yrs.

Note: Sina mtoto, I'm a teacher so the man lazima awe na kazi nisije kulala njaa.
Mbona ujaanza na " nikikupea utawezana"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom