Hello Diaspora, ni Vitu gani vipo huko Bongo havipo?

Acha upoyoyo, ni wapi nilipoandika au kulazimisha kuwa consumable ni chakula pekee? Nadhani unawashwa! Kwa namna nilivyokuwa nikimuuliza mtoa mada alijua ni jokes ndiyo maana hakuendelea ila wewe kwa ujinga wako umevalia njuga mambo yasikukuhusu, eti unaniletea maana kutoka google, ina maana hujiamini?...
Kumbe unaandika usichomaanisha? Basi tuishie hapa
 
Back
Top Bottom