Elections 2010 Helkopta ya JK yakwama kutua Ngara, ahairisha mkutano

Mongoiwe

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
524
263
MKUTANO wa Kampeni wa CCM wa Jakaya Kikwete, leo majira ya saa 10 umeshindwa kufanyika wilayani Ngara mkoani Kagera kutokana na Helkopita yake kushindwa kutua kutokana na Hali ya hewa.

Kutokana na hali hiyo imembidi mwenyekiti wa CCM wilayani Ngara Hellena Adrian alilazimika kuwataarifu wananchi kuwa mkutano huo hautafanyika ikiwa ni majira ya saa 11:30 jioni na kueleza kuwa badala yake mkutano huo utafanyika kesho majira ya saa 2: 00, na kubainisha kuwa Kikwete amelazimika kusafiri kwa Magari.
 
Hali ya hewa gani hiyo inasababisha helikopta ishindwe kutua na kuwezesha watu kibao kwenda kwenye mkutano? Helikopta hii ya aina gani? huko Ngara kuna kimbunga gani huko?

Au Kikwete bado mgonjwa wanaficha ?
 
Huyu hapa chini ana gonjwa gani?
Kibunango bwana

Yani wewe mwenyewe umec-cite kwamba alipata shock, tena basi sababu imesemwa, na unalinganisha na case ya JK?? tena inayoendana na helikopta, badala ya kupeleka kule kwenye jangwa episode 2??

eniwei, sina hakika jana nilisikia kwenye bar wanasema yale mambo yetu ya kiswahili huwa yanageukaga
 
Huyu hapa chini ana gonjwa gani?
Tunaongelea mgonjwa wa taifa sasa wewe unatuletea mambo gani, haya ndiyo matatizo ya kuingilia topic. Naona tatizo lako hapo ni lugha tu Slaa aliposema he fell sick for two days si kwamba alikuwa mgonjwa, hivi nikuambia i fell sick of your daughter ndo nitakuwa mgonjwa kitandani, elewa lugha za watu.
 
Hali ya hewa gani hiyo inasababisha helikopta ishindwe kutua na kuwezesha watu kibao kwenda kwenye mkutano? Helikopta hii ya aina gani? huko Ngara kuna kimbunga gani huko?

Au Kikwete bado mgonjwa wanaficha ?
Kiranga heshima mbele. Inamaana helikopta haiwezi kushindwa kutua kutokana na hali ya hewa?
 
Kiranga heshima mbele. Inamaana helikopta haiwezi kushindwa kutua kutokana na hali ya hewa?

Sijasema kitu, nimeuliza maswali tu. Una majibu ya maswali?

Na ingawa ni kweli helikopta inaweza kushindwa kutua kutokana na hali ya hewa, haina maana kila mtu anayetoa sababu hiyo anakuwa mkweli.

Hasa ukizingatia head honcho kasema ameanguka kwa sababu ya swaumu, wakati watu wamemuona akinywa maji kabla ya kuanguka.

You dig ?
 
Mkoa wa kagera uko maeno ya Equator. climatic condition zake zinajulikana. naamini helikopta inayotumika sio ya kijeshi ni ya kitalii. Na hata ingekuwa ya kijeshi bado uwezo wa helikopta kuhimili mikiki mikiki ya dhoruba ni mdogo.

So i hope ni kweli.
 
kama ulikwepo vile wanajaribu kufanya vitu wasivyo weza huwo ni mziki wa chadema hawauwezi bana
 
Mkoa wa kagera uko maeno ya Equator. climatic condition zake zinajulikana. naamini helikopta inayotumika sio ya kijeshi ni ya kitalii. Na hata ingekuwa ya kijeshi bado uwezo wa helikopta kuhimili mikiki mikiki ya dhoruba ni mdogo.

So i hope ni kweli.

Climatic conditions zipi hizi zinazojulikana? Hazibadiliki?

Mbona watu wanashindwa kuwa specific in a verifiable way kama vile "kulikuwa na kimbunga pande fulani fulani" watu tuhakikishe weather.com hapa ?

Ni huu usiri siri unaotufanya tuweke maswali mengi, hata kama kitu ni cha kweli, watu wakiweka usiri mwingi na kuwa non specific wanasababisha maswali mengi kuliko wanayojibu.
 
Mkoa wa kagera uko maeno ya Equator. climatic condition zake zinajulikana. naamini helikopta inayotumika sio ya kijeshi ni ya kitalii. Na hata ingekuwa ya kijeshi bado uwezo wa helikopta kuhimili mikiki mikiki ya dhoruba ni mdogo.

So i hope ni kweli.

Kwa nini u hope katika kitu kinachoweza kuwa verified ?
 
Looh! Kiswahili kwako shida hali kadhalika Kiingereza
Pamoja na kukosewa kwa spelling lakini sentensi imeeleweka kuwa i fell sick of your daughter haina maana ya mimi ni mgonjwa kwa hiyo Slaa aliposema he fell sick for 2 days haina maana alikuwa mgonjwa, msiwe mnalazimisha mambo kuwa vile mnavyotaka yawe
 
Huyu hapa chini ana gonjwa gani?
Wewe Kibunango, tunajua huwezi kucommit class suicide. Unaweka quotations zisizo na maana. It is a known fact Kikwete ameanguka mara 4, Slaa aliugua kwa shock ya kuchaguliwa, nothing more. Mungu Anamwonyesha Kikwete na mafisadi wenzake, kilio cha watanzania kimesikika. Tumechoka kufisadiwa. Angalia wakina mama wanaokosa huduma za uzazi bora, watoto wanakaa chini mashuleni. Tanzania sasa hivi ni maskini kuliko Rwanda, Burundi, mpaka Haiti. Maisha bora kwa kila mtanzania, ni maisha bora kwa Kikwete na familia yake na watu kama ninyi, including you, Kibunango, mtoto wa system. Ita jina lolote, lakini unashabikia CCM kwa kuwa una personal interests. Shame on you CCM, your days are numbered.
 
Back
Top Bottom