imewasili hapa saa 17.15 jioni na kukusanya umati mkubwa wa watu, na baadaye kuelekea Mwanzugi ambapo Mbunge Leopold Mahona alikuwa akifanya mkutano.
imewasili hapa saa 17.15 jioni na kukusanya umati mkubwa wa watu, na baadaye kuelekea Mwanzugi ambapo Mbunge Leopold Mahona alikuwa akifanya mkutano.
Ni huyuhuyu mkigoma ndiye alitudanganya jana. inawezakana ni kada huyu...makada wamebobea kwa uzushi na uongo.nyie mlikoko igunga mnatupeleko siko,jana kuna jamaa kasema helkopter mbili za ccm zilitua,kwenye tbc wawnasema hakuna kitu kama hicho
kama kweli weka foto acha maneno matupu
imewasili hapa saa 17.15 jioni na kukusanya umati mkubwa wa watu, na baadaye kuelekea Mwanzugi ambapo Mbunge Leopold Mahona alikuwa akifanya mkutano.
Ya UPDP imetua kahama kufanyiwa service.
Kesho saa 4 itakuwa hapa...
nyie mlikoko igunga mnatupeleko siko,jana kuna jamaa kasema helkopter mbili za ccm zilitua,kwenye tbc wawnasema hakuna kitu kama hicho
kama kweli weka foto acha maneno matupu
Ni huyu huyu mkigoma amekuwa Air trafic controller wa Igunga sijui ya SAU itafika lini.nyie mlikoko igunga mnatupeleko siko,jana kuna jamaa kasema helkopter mbili za ccm zilitua,kwenye tbc wawnasema hakuna kitu kama hicho
kama kweli weka foto acha maneno matupu
helkopta 2 za chama cha mapinduzi zimetua hapa igunga zikiwa na January Makamba na John pombe Magufuli.
Ya UPDP imetua kahama kufanyiwa service.
Kesho saa 4 itakuwa hapa...
Toa longolongo zako hapa.imewasili hapa saa 17.15 jioni na kukusanya umati mkubwa wa watu, na baadaye kuelekea Mwanzugi ambapo Mbunge Leopold Mahona alikuwa akifanya mkutano.