Helkopta iliyokuwa imebeba watu 5 yaanguka ziwa Nakuru

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
Helkopta iliyokuwa imebeba watu 5 waliokuwa wanaenda kwenye mkutano wa siasa imeanguka ziwa Nakuru muda mchache baada ya kuondoka kwenye hoteli iliyopo mji wa Nakuru

OCPD wa Nakuru Joshua Omukatta alithibitisha tukio hilo nakusema walikuwa wanasubiria boti ya uokoaji kwenda eneo la tukio

Taarifa za awali zinasema watu 5 walikuwa ndani ya Helkopta hiyo, Seneta wa Nakuru Susan Kihika alisema watu watatu waliokuwemo kwenye ndege hiyo walikuwa kwenye timu yake ya mawasiliano

=========================================================
plane.jpg
lake+Nakuru.jpg

A helicopter has crashed in Lake Nakuru shortly after take off from a hotel in the town.

Nakuru OCPD Joshua Omukata confirmed the incident saying they were waiting for a boat to conduct the rescue as the chopper crashed inside the lake.

Unconfirmed reports indicate that there were five people on board.

Nakuru Senator Susan Kihika said three of those on board (names withheld) were members of her communication team.

The aircraft had left Jarika Hotel and sources say it was flying low before it crashed.

The chopper was to later ferry more journalists to a campaign rally.


Source: Daily Nation
 
Mwenye taarifa kamili kuhusu kuanguka kwa helicopter nchini Kenya iliyokuwa imebeba wanasiasa ambao bado hawajajulikana ni akina nani
Television ya nchini humo Citizen inatoa taarifa hiyo muda huu
Walioko karibu angalieni
 
Hivi hakuna option ya watengenezaji vyombo vya angani kuweka mazingira ya kuelea kikiwa kinaangukia majini

Nyingi zinapata ajali majini...japo sijajua kwa nini
 
Wanasiasa kupata ajali ya chopa imenikumbusha kifo cha John Ngarang' 2005.
 
Back
Top Bottom