Elections 2010 Helkopa za JK zashindwa kufika Lupembe, mkutano wa Nombe wakwama

palalisote

JF-Expert Member
Aug 4, 2010
8,335
1,455
Taarifa zilizoufikia mtandao huu wa francis Godwin hivi punde kutoka Njombe zinadai kuwa msafara wa Helkopta za Jakaya Kikwete zimepotea na kushindwa kutua Lupembe na badala yake kushindwa kufanya mkutano wa mwisho Njombe na kwenda Lupembe kwa magari.

SOURCE: Francis Godwin Blogspot
 
zote 3? maana kweli CCM wezi, chopa 3 kumkapenia mtu 1, daaaaaaaah wakati Mwenza full kula vumbi na magari?
:confused2::confused2::confused2:
 
habari za helikopta kushindwa kutua si za kizushi, ni za kweli, ndio maana ukaambiwa alilazimika kwenda kwa magari ya serikali!:becky:

imeshindwa kuruka ya dk silaa nini kikwete jamani mbona mambo ya kawaida haya
 
Pdidy acha kulia inaongelewa ya mkwere,acha mbona mbona mbona nyingi
 
mara kashindwa kwenda mara anaogopa kuzomewa mara kaenda na gari mara vile mara ................... Upuuzi mtupu. kwani kuna kitu gani cha ajabu hapo? kama hali ya hewa hairuhusu au chopa ni mbovu tatizo lipo wapi? hata hamueleweki. upuuzi mtupu
 
Mtaalam Yahaya Hussein hajazikinga hizo? Wazee wa Lupembe wameziteka!!! Lazima kamati ya kampeni wachinje mbuzi leo usiku na umeme kuzima nchi nzima kama wakati ule jamaa alianguka jangwani akihitimisha kampeni!!! Recall back!! Mungu anakasirika kila wakati!!! Bow to him na si kwa kina Yahaya matapeli. Kweli ukiona kiongozi wa nchi na Ikulu yake inaamini katika utabiri basi jua ni hatari sana. Ngoja waloge na wapiga kura siku ya uchaguzi wanaona kivuli cha mgombea mmoja tu!! Ha ha ha wana maombi ni lazima muanze kukemea kwa jina la Yesu.
 
Upuuzi wa kitoto! Hakuna utumbo kama huu!
 
Sasa nini maana yake??Chopa kushindwa kutua Njombe???Sijawaelewa,maana mngekuja na tafsiri yake ningewaelewa au mnsubiri sheikh yahaya aseme??
 
Chopa zilishindwa kutekeleza SERA ya kutua ya CCM ndo maana zikadharau kutua mahala zilipopangiwa kutua
 
Back
Top Bottom