Helium yetu jamani, madini yameipa unafuu dunia

darcity

JF-Expert Member
Jul 20, 2009
9,037
17,931
Nimepita kwenye mitandao kadhaa ya Dunia, nilichogundua kuwa madini ya helium yaliyogunduliwa yameipa unafuu Dunia. Kwa hiyo ndio fursa yetu pekee kustawisha nchi yetu kwa utajiri huu.Chonde Chonde Prof. Muhongo na JPM mtulindie madini yetu
 
Utaskia mswada unapitishwa haraka haraka kama ile ya GAS ya MTWARA tunacho kiona sasa kweny bajet yetu haizungumzii pato kutoka huko kweny Gas.

Tahadhari waheshmiwa tuache uchama madini yetu sote na vizaz vijavyo
 
Mimi nilikwishakata tamaa na ccm, kwa kweli nawaangalia tu, wakiiba sawa, wakigawana sawa, sasa tutafanya nini?
 
mbona ayo madini sio yetu, wachina watayachukua fasta kwa sababu hatuna vifaa vya kuchimbia na viwanda vya kuchakata ayo madini
 
hivi hiyo gesi ya helium ipo mikoa ipi
350-inline-1-helium-reserve.jpg

At this spot near Lake Eyasi in Tanzania, helium-rich gas bubbles to the surface in a natural water seep
 
Naona kila mtu anaongea lake kuhusu sehemu gesi hii ilipogunduliwa,,kilichogunduliwa songwe mbeya lilipo gereza la songwe ni madini fulani jina limenitoka kidogo(nadhani gereza hilo lilijengwa strategic mahali apo),,kwa upande ya aliyesema kingo za mto ruvu si kweli kwa sababu imegunduliwa kwny bonde la ufa na hilo bonde tanzania lina mikondo miwili but none of the two imepita ruvu but magharibi(ziwa tanganyika,rukwa, all the way to ziwa nyasa) na mwingine umeishia somewhere arusha.
Kuhusu ziwa enyasi sijasikia such a thing but kwa vyanzo nilivyonavyo am certain kuwa resenve ya gesi hii asilia imegunduliwa ziwa RUKWA
 
Hii ya L Eyasi ndo naisikia kwako ninavyojua ni maeneo ya kusini hasa mbeya na hata gereza la songwe linahamishwa

Pale songwe ni madini fulani jina limenitoka,,ukisearch "pandahill project unaweza kuona jina lake,,reserve ya hayo madini ipo kwenye base ya ule mlima uliopo nyuma/pembeni ya gereza kama unayajua yale maeneo
 
Back
Top Bottom