Helikopta za Vyama Vyote zapigwa marufuku Kalenga

Nimeamini ccm haijawi shinda kwa HAKI katika CHAGUZI zote labda kwenye chaguzi ya KUMCHAGUA CHRIS LUKOS kuwa WAKALA WA RAMBI RAMBI,,,,,,RITz kuwa muosha VYOMBO,,,,,,, MSALANI kuwa TOPAZ wa LUMUMBA,,,,,,SIMIYU YETU kuwa DOBI,,,,,,,,BIG SHOW kuwa BOARDGUARD wa GESI,,,,zaidi ya hapo ni KANJANJA FORUM.
 
2. Hatutaki kuona watu wasiokuwa na shughuli maalumu wanapitapita katika maeneo ya kupigia kura.
3. Siku ya uchaguzi si siku ya kampeni. Hatutaki kuona helikopita za vyama vyote zenye kuashiria kufanya kampeni.
AHSANTENI SANA.

Chopa hazijakatazwa, zimekatazwa za kampeni. Toa mabango, rusha chopa no kampeni siku ya uchaguzi. Tusiwalaumu sana polisi.
 
Cheap bargaining ...................wadanganye wajinga!

helkopta itarushwa angani kama kawa ila itakuwa haina bandiko lolote la chama, pili hiyo siku siyo ya kampeni hivyo helkopta itasaidia kubeba mwakilishi wa chama kwa kila kituo, tatu hata chichiem wakitaka watabebwa na hiyo helkopta, nne sheria za uchaguzi zitafuatwa na cyo amri za wasiojua sheria ya uchaguzi.
 
Ni mpuuzi pekee anayeweza kuwatuhumu wanahabari kisha mwishoni anawasifu

Ni ujinga kufikiri Helkopta zikiruka angani basi moja kwa moja ni kampeni.

Ni uhayawani kufikiri kuwa watu wengine hawaruhusiwi kwenda popote siku ya uchaguzi .Ni kuvunja katiba ya nchi

Haya majibu yenye sura ya kukisaidia kitengo cha propaganda cha CCM ni muendelezo ya ghiliba za kisiasa na matumizi mabaya ya vyombo vya dola kisiasa.
PoliCCM kazini, hamna lolote, ndio kwanza nakwenda Kalenga kulinda kura, Meter 100. Wewe huniambii chochote.
 
Hawa ma-RPC wa mkoa wa Iringa akiwemo Kamuhanda aliyehamishiwa Makao Makuu ya Jeshi hilo baada ya kuua Mwandishi wa Channel 10 huwa wanafikiri kwa kutumia maka** yao!

Unapowaambia watu kuwa umepiga marufuku Helikopta za vyama vyote nini maanake na unataka kumhadaa nani? CHADEMA ndiyo wenye choppa huko Kalenga tangu kampeni zianze na hatujasikia chopa ya CCM!!! Huyu RPC ni afadhali angelikuwa wazi tu na kutangaza rasmi kuwa chopa ya CDM ndiyo iliyopigwa marufuku.

Kwa hiyo kinachoonekana hapa ni RPC kufanya kampeni za kiaina kwa ajili ya kuwabeba CCM. Sioni mantiki ya Choppa kuhgatarisha usalama wa raia kabla ya siku ya Uchaguzi au baada ya hapo. Tunaju CCM wamewahi kutumia Helikopta baada ya kuona wanazidiwa na CDM!

Watu wanajua,wanaelewa na wanafahamu kile kinachoendelea mpaka saa hii kuhusu kampeni za Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kalenga. Kwamba mgombea wa CDM ndiye anayeng'ara kwa sana na ndiye chaguo la Wanakalenga. Mgombea wa CCM ambaye ni kijana/mtoto wa marehemu Mgimwa aliyekuwa Waziri wa Fedha anaonekana kama mtalii fulani vile kutoka Uingereza!!!Tangu ameanza kampeni sijamsikia akihutubia mkutano wowote na inaonekana ni dhaifu, mwoga na asiyejiamini! Kijana huyu anaonekana kama vile alilazimishwa!!!

Kwa mtazamo huo huyu kijana wa Mgimwa ni msindikizaji tu hana lolote. Tunawaomba wana-Kalenga hiyo kesho kutwa wakafanya maamuzi yenye busara kwa kumpa KURA dada yetu mpendwa Grace Tendega aliyejipambanua kuwa anaweza kuwa mwakilishi wao mzuri kupitia CDM na hivo kuwasaidia wana-Kalenga kufikia ndoto zao za kimaendeleo.
PIGA KURA YA SIRI TAREHE 16/03/2014 CHAGUA CHADEMA,CHAGUA TENDEGA KWA MAENDELEO.
 
Nijuavyo mimi Helkopta ni chombo cha Usafiri km ilivyo gari,tofauti ni kwamba Helkopta inauwezo wa kumfikisha muhusika aendako kwa haraka zaidi.

Ambacho nawashauri Cdm kufanya ni kuhakikisha kwamba kila Helkopta itakayokua ikizunguka siku hiyo kufanya ulinzi wa kura isiwe na Bango lolote.
Baada ya hapo itakua na majibu kwa huyo Mjinga RPC anaetumiwa na Ccm.

Je na magari nayo yatapigwa marufuku yasitumike ktk siku hiyo?
Wakati wa kutishana na kuogopeshana umekwisha watu ni Peeeeeeeeople!
 
Anamtaja kwa jina huyo katibu mkuu wa ccm iringa lakin hataji makosa ake.

Anafundisha waandishi wa habari kuwa hata kama wame eyewitnesses wasiandike had waende police kupata maelezo.

Haya ndo mwangosi aliyapinga sana.. kumpa mtu kichwa akuwazie..

Mungu amrehemu huko aliko. Amin
 
helkopta itarushwa angani kama kawa ila itakuwa haina bandiko lolote la chama, pili hiyo siku siyo ya kampeni hivyo helkopta itasaidia kubeba mwakilishi wa chama kwa kila kituo, tatu hata chichiem wakitaka watabebwa na hiyo helkopta, nne sheria za uchaguzi zitafuatwa na cyo amri za wasiojua sheria ya uchaguzi.

Kwa koment yako hii nimekusalute Mkuu! Big up sana.
Hivi kweli km helkopta haina bango au nembo ya Chama inakuaje kampeni? Asituzingue huyu.

Chopa ni kama kawa! Mwanzo mwisho. Nachoomba yeyote mwenye kuweza kupata mawasiliano na uwongozi awashauri watolee ufafanuzi huu upuuzi wa huyu RPCCCM!
 
PoliCCM kazini, hamna lolote, ndio kwanza nakwenda Kalenga kulinda kura, Meter 100. Wewe huniambii chochote.
cha kushangaza sasa... hata waandishi hawakupewa nafasi ya kuuliza maswaali... bali waliambiwa mwisho wa taarifa nawatakia utekelezaji mwema.

Huu ni uhuni na ntalinda kura yangu hadi mwisho
 
Vyama gani ccm hawana chopa yani siasa hizi na polisi ipo siku tutaumana na chopa lazima zilinde kura nia AMRI sio ombi funyambu zenu!
 
Back
Top Bottom