HELiCOPTOR YA DR. SLAA YAPOTELEA ANGANI, YASHINDWA KUTUA NSHAMBA- MULEBA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

HELiCOPTOR YA DR. SLAA YAPOTELEA ANGANI, YASHINDWA KUTUA NSHAMBA- MULEBA

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ta Muganyizi, Oct 19, 2010.

 1. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #1
  Oct 19, 2010
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Ni katika hali ambayo wananchi wa Nshamba Wilaya ya Muleba bado wanajiuliza na kushangaa hadi hivi sasa ambapo baada ya Mgombea kwa tiketi ya CHADEMA , Dr. Slaa kufunika Bukoba kwa wale walohudhuria kuwa mara mbili au tatu ya wale waliokuwako siku J.K yuko Bukoba, Wananchi wa Nshamba wilaya ya Muleba walimsubiri sana Mh. Slaa na kufanya watu watoke vijiji vya mbali kuja kumuona Dr. Slaa ambaye walidai huwa wanamsikia kwenye redio zao hata zile za mbao hasa kipindi cha Bunge jinsi anavyo tetea maslahi ya nchi hii. Watu hao walofurika hapo Nshamba walisubiri Tangu saa nane mchana hadi saa 12 jioni wakitegemea kuwa Dr. Slaa angejitokeza hiyo tarehe 15/10/2010 lakini hakutokea. Baada ya kufuatilia sababu ya Dr.Slaa kutoonekana ikasemekana kuwa Helcopter ya Dr. Slaa ilipotelea angani na kujikuta iko ndani ya eneo jingine liitwalo NGOTE badala ya Kutua Nshamba Wilaya ya Muleba Mkoani Kagera. Baada ya Tukio hilo zikafuatia habari mbali mbali na maoni tofauti kuwa helicopter hiyo ilijikuta maeneo ya Geita mkoa mpya badala ya Nshamba Wilayani Muleba.Wengine wanasema rubani hakuwa na direction za Nshamba na sababu kibao. Hali hii imewaweka roho juu juu ya kutaka wajue ni lini mgombea huyo anarudi ili wahakikishe kuwa baiskeli na pikipiki zao hazipati pancha na kushindwa kumuona na kumsikiliza mgombea huyo. Watu wa Nshamba wanasema Kura za urais kwa Dr> Slaa ni nyingi lakini kufika kwake kungewaongezea imani zaidi na kujionea na kuhakikisha kura atakazopata. Wachache wanaanza kujiuliza kuwa kama ahadi yake ya Kuwafikia inashindikana , vipi zile anazoahidi kuifanyia nchi? Ndipo wakatulizwa kwa kuambiwa kuwa tarehe 24/10/2010 Dr. Slaa atakuwa ndani ya Kagera ila isijulikane ni lini atakanyaga hapo Nshamba. Nilipododosa kuhusu Kura za Mbunge walisema zilizo nyingi anapewa mpiganaji mwingine kwa jina la Prof. Anna Tibaijuka ambaye wanaamini kuwa wakiungana na Dr. Slaa (endapo ataingia ikulu) mambo yatakuwa shwari. Maana wanaamini U DR. wa Slaa si wa heshima bali ni wa kula kitabu ki-ukweli, pia Prof . Tibaijuka vilevile, hivyo kuamini kuwa hiyo itakuwa combination ya Ngassa na Mgosi!!!!!!(hahahahahaaaaa) wananchi bwana!! Sasa mwenye mawasiliano na DR. Slaa au kamati yake ya Kampeni watangaze mapema kuwa Dr. Slaa anarudi lini Nshamba?

  UTANI ULIOENEA MKOANI KAGERA

  Eti kwa kuwa Mke wa Dr. Slaa ni Kutoka Kagera basi wana Kagera woote ni Shemejiiiiiii wa Mgombea. hahahaaaaaaaaa, yaani nikacheka sana, ni kauliza kwa hiyo???? Wakasema mwaka huu watataka ""first lady atokee hukuhuku""!!!!!!!LOh. Kwa hiyo hawafanyi kosa kabisaaa. Sasa ngja tuoneeeeeee . Picha ya mwaka huu kali. niulizeni zaidi niwaelezee. 0754918212
   
 2. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Hongera wana kagera kupata First Lady mwaka huu. Lakini kazi bado kazi ipo ya kumtoa Salma (F. Lady wa sasa) ikulu.
   
 3. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,845
  Trophy Points: 280
  For sure there will be no such handshake.....in 2010...bye bye losers

  [​IMG]
   
 4. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,018
  Likes Received: 417,506
  Trophy Points: 280
   
 5. M

  Mkulima mimi JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2010
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 233
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Pia katika ziara ya dr ajitahidi awezavyo atue kilolo iringa maana amengojewa kwa hamu sana na hakupita!
   
 6. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2010
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Kumbe ana mke? ni yupi huyo?
   
 7. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #7
  Oct 19, 2010
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Ok asante kaka Rutashubanyuma. Lakini hata nikifa kivuli kitaishi!!!! Binadamu akichoka kachoka mabadiliko nayaona hivihivi. Usiku wa kuamkia leo nimeota (hii ni ndoto yangu) Slaa kawa kashinda uchaguzi, nikaona tume wanakuwa na utata kutangaza matokeo, ghafla mambo ya ajabu yakaanza mara nikaona eti jeshi ndo liko ikulu, ile najiandaa kuja Dar es Salaaam kuhoji kulikoni ahh nikaamka usingizini sijui maanake nini, naomba ufafanuzi!!!Pia kati ya ndoto hiyo nikaona Anna Kilango Waziri wa Maliasili na Utalii, Zitto Waziri Sheria na katiba , Mnyika waziri wa Uchumi, Mwakyembe- NIshati na Madini, Ole Sendeka, Mgana Msindai, Lucas seleliii akawa mbunge wa kuteuliwa, naye kapewa uwaziri yaani ndoto pamoja niliwataja hapo juu ila sikukariri vitengo vyao.Nikaona Mafisadi wamedakwa waliorudisha ela za epa nikaona wanabanwa kuwa wajitokeze wapewe risit za fedha walizorudisha , ghafla nikaona wanajitokeza lakini wana viwiliwili tu hawana vichwa, maana ningewaona laiv ningewataja lohhh!!!! Ndoto nyingine bwana zinatishaaaaa
   
 8. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2010
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  hahahaaaaaaaaaa!! ukabila wa chadema mstake kutuambukiza wahaya! kama chopa imepotea njia na kwenda geita hata maendeleo yataenda kutua moshi badala ya tanzania!! heheheeeee!
   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  Oct 19, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,339
  Likes Received: 19,512
  Trophy Points: 280
  Rostam hakuwepo?
   
 10. luvcyna

  luvcyna JF-Expert Member

  #10
  Oct 19, 2010
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 1,034
  Trophy Points: 280
  ni wengi mno wanomngoja kwa kweli mkombozi wetu Dr. WEAPON, ilikuwa ni fikra zangu mwanzo kuwa Mh.Dr. WEAPON (Slaa) hatambuliki vijijini ila ajabu juzi nimetoka kusalimia kwetu singida vijijini hadi bibi yangu kesha sikia habari zake nlipomuuliza kuhusu yupi anatarajia kumchagua mwaka huu.,.  JAMANI NAOMBA MSAADA WENU MWENYE MAWASILIANO NA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA ARUSHA MJINI Bw LEMA, AMTAARIFU MBINU ANAYOTUMIA HUYU MAMA WA CCM BAADA YA KUONA KILA ANAPOKWENDA ANAZOMEWA, SASA ANAINGIA VIWANDANI NA KUKUTANA NA WAFANYAKAZI KISHA KUZUNGUMZA NAO NA KUACHA FEDHA NYINGI KWA UONGOZI WA KIWANDA ILI WAGAWIWE KILA MFANYAKAZI KUSHAWISHI WAMPIGIE KURA, JANA ALIKUWA VIWANDA VYA SUN FLAG NA A TO Z ARUSHA AKIFANYA HAYA..HAIKUNIPENDEZA KWANI MIE BINAFSI SIKUHITAJI HATA KUONA SENTI YAO PINDI TULIPOANZA KUGAWIWA NA UONGOZI WA KIWANDA
   
 11. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #11
  Oct 19, 2010
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  JAMANI NAOMBA MSAADA WENU MWENYE MAWASILIANO NA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA ARUSHA MJINI Bw LEMA, AMTAARIFU MBINU ANAYOTUMIA HUYU MAMA WA CCM BAADA YA KUONA KILA ANAPOKWENDA ANAZOMEWA, SASA ANAINGIA VIWANDANI NA KUKUTANA NA WAFANYAKAZI KISHA KUZUNGUMZA NAO NA KUACHA FEDHA NYINGI KWA UONGOZI WA KIWANDA ILI WAGAWIWE KILA MFANYAKAZI KUSHAWISHI WAMPIGIE KURA, JANA ALIKUWA VIWANDA VYA SUN FLAG NA A TO Z ARUSHA AKIFANYA HAYA..HAIKUNIPENDEZA KWANI MIE BINAFSI SIKUHITAJI HATA KUONA SENTI YAO PINDI TULIPOANZA KUGAWIWA NA UONGOZI WA KIWANDA[/QUOTE]

  Mamamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, yaani mwana kumbe hali ni hivi, sasa tufanyeje jamaniiiiiii?????????? AGGHHH wewe kula hiyo hela alfu kura yako mpe umpendayo.
   
 12. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #12
  Oct 19, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  dada yako
   
 13. carina-TI

  carina-TI Senior Member

  #13
  Oct 19, 2010
  Joined: Oct 16, 2010
  Messages: 128
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wajameni samahani kidogo wajameni!
  kuna:
  MUGANYIZI
  TA MUGANYIZI
  RUTASHUBANYUMA


  hamjambo wajameni?
   
 14. S

  Simbamwene JF-Expert Member

  #14
  Oct 19, 2010
  Joined: Jun 22, 2008
  Messages: 287
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Utani mwingine utaua watu kwa pressure? Heading haiku kaa vizuri!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 15. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #15
  Oct 19, 2010
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Mimi Ta Muganyizi sijambo, Sijui Muganyizi na Rutashubanyumaaaa, WEWE je? Dr. Slaa juu. Loh! Sijui tutapata fist lady mpya!!!??
   
 16. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #16
  Oct 19, 2010
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  dalili za mikosi kwa huyu jamaa.
  hatoweza kutua ikulu.
   
 17. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #17
  Oct 19, 2010
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,640
  Likes Received: 2,872
  Trophy Points: 280
  Ni huyu hapa:

  [​IMG]

   
Loading...