Helicopter ya Maliasili yadondoka na kuua Kipunguni B - Ukonga Dar Es Salaam

mpyepye

JF-Expert Member
Nov 27, 2014
251
51
Kwa mwenye taarifa juu ya hili tufahamishane.

Habari zenu,

Wakati tukiendelea kusikilizia habari za ESCROW habari za hivi punde zimenifikia toka kwa jamaa yangu wa karibu sana kuwa helikopta ya maliasili imedondoka maeneo ya Kipunguni karibu na Moshi bar na kuua wote waliokuwepo ndani yake wakiwemo polisi.

Mwenye taarifa zaidi atujuze

ndege.png
Taswira ya Helicopter baada ya kuanguka huko Kipunguni

 
Habari zenu,

wakati tukiendelea kusikilizia habari za escrow habari za hivi punde zimenifikia toka kwa jamaangu wa karibu sana kuwa helikopta ya maliasili imedondoka maeneo ya kipunguni karibu na Moshi bar na kuua wote waliokuwepo ndani yake wakiwemo polisi.


Mwenye taarifa zaidi atujuze
 
Pole kwa waliofikwa na majanga hayo,kimsingi hakuna haja ya kutokwa povu kumtukana mtu anayefurahia majanga ya mtu mwingine sababu kwa namna bongo tunavyoishi sasa upendo ni wa mdomoni na magazetini tu rafiki yako mkubwa anaweza kuwa adui yangu namba moja either directly or indirectly,

hakuna mtu asiyejua umuhimu wa polis lakin inawezekana polisi hao hao walishawahi walishawahi kunionea au kumuonea nduguyangu na ckuwa na pa kusemea so ikitokea wakakutwa na majanga usifikiri ntasikika kiivyo natoa mfano hapa,so mm sio ww wala ww sio mm kila mtu acha afunguke kimpango wake mkuu.
 
Km vile ilikatika mkia ikiwa hewani au ilipata hitilafu kubwa rubani akawa anajarb kutua juu ya paa. Nimeambiwa tu sijashuhudia. Akashindwa ndo ikamalizikia chini.

Niliiona faya ikienda lkn hawakuwahi...

Pole kwa waliofiwa. Habari zisizo rasmi kulikua na watu wa4 na wamefia hapo wote
 
Mkuu hili jukwaa wanaingia watu wa aina mbalimbali haya matusi hayavumiliki JF inapotezewa umaarufu na watu kama hawa huwa nasema kila mara kuwa sio kila uzi lazima uchangie.Cc Mods
Usingizi ukiisha watalifanyia kazi.
 
Watu 4 wamekufa baada ya Helkopta inayomilikiwa na Wizara ya Mali Asili namba 5HTWA kuanguka katika eneo la Kipunguni B - Ukonga jijini Dar es Salaam.

Jeshi la polisi lathibitisha kutokea kwa tukio hilo

Source: RADIO1 STEREO
 
Mkuu hili jukwaa wanaingia watu wa aina mbalimbali haya matusi hayavumiliki JF inapotezewa umaarufu na watu kama hawa huwa nasema kila mara kuwa sio kila uzi lazima uchangie.Cc Mods

Mimi Mwenyewe Najijua Ni Baloteli Na Suarez ILA Sijafikia UPOPOMA Kama Wa Huyo Mwenzetu. Ila Msijiulize Sana Kumbukeni Kuwa Mitihani Ya BRN Imeshamalizika Na Sasa Tunao Wapuuzi Wengi tu Humu Mitaani Mmoja Wapo Ni Huyu Aliyetukana Matusi Makali Na Ya Ndani........ Basi Ungetumia Hata TAFSIDA!
 
Back
Top Bottom