Hela za kuhonga zilitoka fungu gani la wizara

EasyFit

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
1,269
1,082
Tunajadili Jairo aliandika barua kwa idara za wizara kuchanga hela za kuhonga ili bajeti ipite
Tunasahau jambo muhimu la kuuliza hilo fungu limemegwa kutoka bajeti ipi ya wizara
isije kuwa ni zile za kununulia mafuta ya mitambo ya IPTL labda ndiyo maana imezimwa.
 
Wachangiaji wa hizo hela na taasisi zao ndo wanafahamu hilo.tusubili kidogo tutajua
 
Taasisi zilizochini ya wizara hii zinajitegemea kibajeti. Mfano TPDC, TANESCO. Nyingine kama Chuo cha madini, STAMICO wanacheza na manunuzi hewa tu. KM akiagiza, piga ua ni lazima pesa hii ipatikane. Vinginevyo wakuu wa Taasisi hawataki kuendelea kuziongoza taasisi hizi.
 
Back
Top Bottom