hela za DECI ziko wapo, sio zitumike na CCM kwenye uchaguzi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hela za DECI ziko wapo, sio zitumike na CCM kwenye uchaguzi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ubungoubungo, Jun 13, 2010.

 1. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #1
  Jun 13, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Jamani, kipindi kile watu watu wa deci wamekamatwa, kuna hela kama Billion 11 walikuwa nazo..kiasi ambacho kilikuwa ni kidogo mno kuwalipa watu wote mbegu...kama wangekuwa wanalipa deci walitakiwa wawe na kama shs billion 50...lakini kwakuwa walikuwa na billion kumi na moja sijui (ndivyo nilivyosikia kwenye luninga wakiongea wenyewe)...hawakuweza..ninachotaka kujua kama kuna mtu mwenye fununu, hizo hela walipeleka wapi? je, waliwapa yatima, waliingiza kwenye NGOs au WATATUMIA CCM kwenye kampani kwenye uchaguzi huu? au ziko wapi...na je, ile kesi hivi iliisha, wale wachungaji wao wanaendeleaje...bado wako rumande au wametoka...
   
Loading...