Hela yangu hailiwi hovyo!

babyfancy

JF-Expert Member
Oct 20, 2018
2,176
6,181
Leo nikiwa zangu home na simanzi nzangu za kumuenzi baba wa taifa mara simu yangu ikaita kuanzalia naona namba ya tigo nikapokea NASIKIA sauti kutoka Voda huduma KWA wateja na namba yao ya tigo huyo mkaka KANIAMBIA kana mteja kakosea kutuma pesa 47000 imeingia kwenye account yangu nikamuuliza mbona sijaona message akasema imechelewab kunifikia

Mara naona message hiyo na nikaulizwa una sh kwenye M PESA yako nikajibu million 2 acha acheze sindimba akijua kawini wakati nina 6000 tu KANIAMBIA fuata maelekezo nitakayo kuelekeza KANIAMBIA bonyeza*33*0000# me nikabonyeza vingine kabisa kaniuliza umeona nini me nikaanza kumchamba KANIAMBIA ananifungia line yangu nikamuuliza anaifungia bure au anahitaji na malipo? Akakata simu mara naona message hiyo eti umefungiwa
View attachment 1973969
 
Hahaha mi niliambiwa nimeshinda vodaduka hivyo nitume laki wanisajili kwaajili ya kupewa duka la vodacom.

Nimesoma msg nikaruka hewani. Akapokea jamaa alivyoskia sauti yangu tuu akacheka afu akaniambia kummanina weee akakata.

Nahisi ni mtu alikuwa ananijua ila hakujua kwamba anaetaka kumtapeli ndio aliemfundisha utundu wa kutumia simu.
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom